Kinacho niuma na kuniudhi ni jambo moja hayo yote uliyo yasema ndivyo yalivyo ila hayaongelewi sana kwenye media kulingana na ukubwa wake badala yake ni TBC PEKEE NDIO ANATEKELEZA JUKUMU HILI kwa kweli kafanya
Nmependa sana Mh aliposema tukifuata taarifa na record za serikali yamefanyika mengi kisesa ni kweli kabisa,watu wote tuwe na tabia ya kufuatilia taarifa na record katika maeneo yetu tutaona mengi sana yaliyofanywa na serikali badala ya kutegemea taarifa za wahandish wa habari
Enda
Shida yako...
Achen upumbufu mbona mnajisahaulisha sana rais ni taasis siyo lazima kila ibadan ahudhulie ,Mh Rais wanao wema tunakupenda na tunakuombea sana na uliahidi yote mama umefanya tunashukuru sana
Kwa kweli huyu nabii yupo tofauti Sana na manabii wengine ni nabii pekeee Tanzania mwenye roho ya huruma na upendo Mkubwa kwa binadamu naandikia hivi kwasababu nikiwa arusha nilikuwa naende kutengeneza radio yake NYU inapoharibika hayo magari yote unayo onyesha akilitumia baadaye huwa anagawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.