Recent content by Mwante M.

  1. M

    Nimekuwa nawaza sana hivi ndani ya upinzani nani anaweza kuwa best presidential candidate!!! Mbatia yuko smart sana kuzidi Lissu

    Kwasasa umechoka kufanya uchambuzi. Sio kila post uchangie zingine kaa kimya tu. Vipi au unachambua ili upate uteuzi???
  2. M

    Je, Reshuffle ijayo PM Kasim Majaliwa atapona?

    Najua wewe ndie mwenye uelewa mdogo wa kufikiri. Kama wewe hukusikia kaa kimya tu. Hii kauri kaisema jiwe Rais hana mamlaka kumtimua pm. Labda amfute uanachama wa ccm hapo atakuwa amepoteza sifa ya kuwa mbunge hivyo hawezi kuwa Pm.
  3. M

    Kwa Kauli zisizoisha za kutoonyesha kutokuwa na Imani nae huku kila mara akiwa anamuelekeza tu siioni tena nafasi ya Kasimu kwa 'Cheo' chake baadae

    Hivi mkuu huachi kusifia vitu visivyosifika? Hata kwa macho huoni au na masikio yako yameziba? Viongozi kupingana kauli mbele ya hadhila hii huashiria kuna jambo haliko sawa. Hata cheo hakitafutwi hivyo Ndugu yangu. Fumbua macho utazame.
  4. M

    Kitendo alichofanyiwa Waziri Mkuu Majaliwa si cha kiungwana!

    Umesahau ile kauli aliosema kuwa kwa uwezo wa pm angefaa hata kuwa waziri wa kilimo!! Maajabu yanaendelea tz
  5. M

    Serikali: Kampeni ya kupambana na Ushoga ya RC Makonda sio msimamo wa nchi

    Huu usemi kuwa serikali haiko upande wa makonda una tafsiri nyingi sana. Moja ni kuwa hakuna mtu yeyote aneruhusiwa kupinga ushoga Tz. Pili, inaonekana kufanya vitendo ushoga ni halali na kama ingekuwa haramu serikali ingempongeza makonda kwa ubunifu huu. Tatu ni kivuli cha haki za binadam...
  6. M

    Mbowe na CHADEMA msife moyo hata kidogo

    Wote waliosema chadema itakufa wao ndio walikufa kisiasa refer Wasira, kwa uchache ila ni wengi sana. Na kumbuka ukiitukana chadema teuzi unapewa kirahisi sana. Hapa napo wapo wengi waliopata fursa. Huyo mayala anatafuta fursa, anajua akiitaka cuf au nccr hawezi kupata dili.
  7. M

    Mbowe na CHADEMA msife moyo hata kidogo

    mayala utazama wewe na wanafiki wengine wafananao na wewe, upinzani hauwezi kuzama. Ivi wewe umesoma wapi hata ushindwe kutambua kuwa upinzani ni imani? Au unatafuta uteuzi maana nafasi bado zipo. Kwasasa hueleweki unasimamia mini.
  8. M

    Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally: Kama kuna mtu amekwazika na kauli yangu ajitokeze hadharani

    OK unajua wakati mwingine mtu anaweza kusema jambo fulani lakini asitambue kuwa kasema. Hapa ni Mungu tu huwa anamuumbua mtu au kikundi fulani. Watu wamekichoka hiki chama. Kama Kweli zilikuwa ni akili zake aende kwa mkuu wake akamwambie watanzania wanataka tume huru ya uchaguzi na katiba mpya.
  9. M

    Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

    Tatizo lipo kwenye katiba. Kama katiba ingetamka kuwa kama mbunge amefariki au kuhama chama chake basi yule aliekuwa wa pili baada ya kutangaza matokeo ndie atakuwa mbunge. Hapo tusingeona huu umalaya Malaya au upuuzi wa kuunga mkono. Nani angekubali kuacha posho zake?
  10. M

    Ilala: Madiwani CCM, CHADEMA ‘wazichapa kavukavu’

    Hapa iko wazi tu. Hawa wa cuffed na chadema waliungana. Tumia akili ya ziada kufikiri utapata majibu ya kina.
  11. M

    Wanaojiuzulu ubunge mwisho Julai 2019, NEC yatoa tahadhari

    Huyu mheshimiwa ni kama anafurahia watu kuhama. Angalia hilo neno alilotumia ''muda bado upo mwingi sana" hii kauli inafikirisha sana.
  12. M

    Lowassa ni mtaji au mzigo ndani ya CHADEMA?

    lowasa ni mtaji chadema, bali police na tume ni mtaji wa ccm. Hiyo ni tafakuri yakinifu.
  13. M

    Waliohamia CCM hiki ndicho kitawapata!

    Kwa kutumia polisi na tume watakuwa na uhakika wa kushinda. kitakachoendelea kwasasa ni kupeleka pesa za maendeleo Kinafki ili kuwarubuni wadanganyika. kwenye kura za maoni Hawa mbululazi lazima wamwagwe Kama toilet karatasi kazi Itakuwa imekwisha. wafia chama ndio Itakuwa fursa yao. Usione wako...
  14. M

    Mzee Lowassa pumzika siasa, zama zako zimepita

    Hebu chukua muda wako kidogo utafakari usijifanye una upofu na uziwi. Hili agizo kwa wakurugenzi alilitoa nani na lini? tuanzie hapa.
Back
Top Bottom