britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Kama baadhi ya watu wanavyosema kwamba Lissu au Magufuli can not offer best presidency in their country wakatoa sababu za msingi, ulikuwa mjadala mwaka 2014 nadhani tindo Pascal Mayalla na Mag3 kama vile waliwahi kuandika mahala jambo ili, ntarejea vema,
Kwamba kwanin Magufuli wa wakati ule pia Lissu waliona kwa wakati ule hawezi kuwa rais bora?
1.Misimamo isiyoyumbishwa ambayo hupelekea mpaka kupuuza ushauri wa wataalamu maana kuna mambo mengi anafanya watu wanashangaa kwamba hivi hapa kashauriana na wataalamu? Hivo uzalendo wake uliopitiliza nadhani ndo unampa tatizo ilo, usishangae siku moja anakwambia kwamba sasa nabadilisha noti ya nchi, bila hata ushauri au anakwambia tokea leo nafuta wizara fulni ama tokea leo nahamishia jengo fulani hapa,
Vivyo hivo Lissu kwa upande mmoja naye ana misimamo ambayo imepitiliza, ambayo hawezi kuibadili eti kisa washauri wake wamesema,
2.Magufuli amekaa sana kwenye wizara ya ujenzi anaamini katika ujenzi kila muda hawazi masuala mengine ni kuboresha barabara, kununua ndege, kuzindua madaraja, kwake yeye anaona ni bora azindue daraja atalala usingizi mnono kuliko mfano kutafta suluhu ya njaa sehemu fulani akifika anawaambia hakuna chakula serikali haigawi chakula cha bule, hivo amebase katika sekta hiyo hiyo,
Na vile vile kwa Lissu mkimpa urais miaka yake yote anaweza hasifanye jambo lingine labda mabadiliko ya mifumo na sheria, katiba na Mambo kama hayo kwakuwa amebobea upande huo, hivo masuala ya zahanati sijui shule hatakuwa na kipaumbele sana,
3.Uwasilishaji wa hotuba , hawa wote wawili hotuba zao utazipenda kwasababu mmoja anataja taja namba na kutisha tisha , na mwingine utaipenda kwakuwa katika maneno yaliyo mengi anachomeka tu vifungu vya sheria,
Hawajui kuzimaster lugha za kuongea kwa utaratibu na audience, Lissu kama anarap, tena kama yuko na mzuka kwenye kuongea,
Wakati Magufuli anahutubia kama ana chuki na mtu kama kuna ugomvi
Hawana polite language kwa wanaowaongoza,
Saa nyingine hupenda kuchomekea chomekea sana yasiyo kwenye hotuba iliyoandaliwa ndo maana hupelekea maamuzi yasiyo sahihi sana,
HAYO MAPUNGUFU YOTE MBATIA HANA NI BEST PRESIDENTIAL CANDIDATE KWA UPINZANI
hii ni karata ambayo hamjaitumia kwenye UKAWA, kama UKAWA hautakufa basi jitahidini kwenye Muungano wenu Mbatia awe candidate
1.Presentable
2. Good speech delivery anajua
3.Mtaratibu
4.Hana kashfa
Pitia kipande chake kidogo hapa
Note that kuwategea wenzangu ni uungwana mi ni CCM na Magufuli ndo rais tena 2020-2025
Kwa asilimia kubwa Magufuli kachange hata Pascal Mayalla ana uzi fulani unaoonesha how the man changed
Pili kuna baadhi ya Mambo kajitahidi japo si kwa asilimia zote ila mbatia anaweza kuleta ushindani sana