Recent content by Mwano

  1. M

    Kunguru katua juu ya kichwa changu, nashauriwa niende Bagamoyo, ni sahihi?

    Hata ukienda kwa waganga kama mungu kaamua itakuwa tu! Kwanini upate shida yote mwachie mungu, omba akukinge na shari na yeye pekee ndo mwokozi, omba mungu sana .
  2. M

    Sumry aendelea kuongeza gari baada ya vifo vya mohamed trans

    huyo jamaa ni mshirikina , yani hata maji usimpe maana anweza kuumwa akasema umemloga< mohd trans ni mtu wa shinyanga na sumri uliza utapata jib au neda ubungo wapiga debe watakwambia m, acha imani za kijinga, AMIN MUNGU.
  3. M

    WANAUME ni Watu wa Ajabu Sana!

    hapo umesema kweli, wengi wanapenda tigo, tena hata kwa wanaume wenzao, ila mitaani wanajifanya wakali sana, eti dhambi na mengineo, tigo poa!
  4. M

    Ananiambia ana hamu na mimi

    Mr. bado unajishauri? aisee huyo bado anakumbuka dozi ulizompa , mpe nyingige ili hata miaka mia asikusahau!
  5. M

    Amkatakata Mpenzi Wake Wa Kike Sehemu Za Siri Kwa Kupenda Wanaume!

    huyo ni ujinga, kama amejua dada hajatulia si angetafuta aliyetulia , daima malipo ni duniani , pole dada lakini labda kheri yako ungeendelea kubadili labda ungeukwaa!
  6. M

    Uhamiaji: Mchungezeni mrembo Richa Adhia

    ukabila unavunja maendeleo!
  7. M

    Uhamiaji: Mchungezeni mrembo Richa Adhia

    rangi si tatizo, umejuaje kama ana p/port 2?
  8. M

    Hatulali chumba kimoja!!

    Achana nae tafuta mwingine , tena hadi utachoka kukubatiwa!
  9. M

    Hatulali chumba kimoja!!

    tafuta mwingine wa kulala nae
  10. M

    ushaur

    Ipi raha kumaliza upesi au kuwahi?
Back
Top Bottom