Amkatakata Mpenzi Wake Wa Kike Sehemu Za Siri Kwa Kupenda Wanaume!

Sasa huyu naye! Anaganga wapi huko? Kwani huko anakotembeza makali ya wembe ndo ilipo shida? Shida iko kichwani kwa Mama-cha-wote. Alitakiwa shughulikia juu!

Haaa haaa nimecheka sana.

Angefanyaje Mkuu? Angempeleka Milembe au angemchanja kichwani?
 
jamani sijui ni maumivu ya aina gani anayofil huyo dada asiyetosheka na hiyo ndio faida ya kuwa mpenda ngono

Mkuu, mimi sidhani kama shida ni kupenda ngono. Maana mtu unaweza kuwa katika ndoa yako na Mnangonoika kila wakati.

Nadhani shida ni kuwachanganya wanaume na kuwabadili kila wakati tena huwaachi unataka wote wawe wako.
 
Tatizo ni mfumo dume uliopo katika jamii ya waafrika. Hakika haipingiki kuwa kila mwanamke mpya mtaani ni BIKIRAa na kila nyamaume ingependa iwe ya kwanza kuivua chupi na kuiona sura na kupata ladha ya uke wa huyo mwanamke. Tatizo ni nini mwanake akifanya hivyo? Aidha siku hizi wanawake wanataka haki sawa na wanaume kwahiyo na huyo alikuwa akitekeleza maamuzi ya BEIJING. Pamoja na hayo nampa pole nyingi sana. Hebu fikiria matatizo ya kupona kwa kidonda kilichopo gotini halafu kumbuka amejeruhiwa kumani hali ikoje. Kweli sipati picha.
 
Duh!! Wajameni, hakuna hata cha tasfida!!
 
huyo ni ujinga, kama amejua dada hajatulia si angetafuta aliyetulia , daima malipo ni duniani , pole dada lakini labda kheri yako ungeendelea kubadili labda ungeukwaa!
 
Hakuna ajuaye kama anao au la. Labda mwenyewe kama aliwahi kupima.
 
Back
Top Bottom