Hili swala limeleta mkanganyiko mkubwa na bado hakuna maelezo sahihi na ufatiliaji kutoka TCRA ni kama maigizo flani hiv na mwanainchi wa chini anazidi kuumia!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafute agent anayekutolea gari bandari aende tbs kule utalipishwa faini ya kukwepa inspection kule japan haipungui milion na zaidi kulingana na Gari then utatoa Gari bila kadi wataizuia tbs watakupa barua ya kufanya inspection utaenda na Gari pale N. I. T utafanya inspection kama Gari yako...
Tatizo ni pale kila agizo likitolewa na serikali watu wanachukulia kisiasa kwanza hapo ndo tunafeli kwenye bus kuna watu tofauti wa dini na vyama mabishano yoyote ni kelo kwa wangine. Unakuta kwenye bus mch anahubili huku mwingine anatangaza biashara yake abilia wanbishana siasa hii haikubaliki.
Kwa ninin hapa hakuna mtu analeta ushahidi ni kwa kiasi gani Magu alihusika kuvunja mkataba sjaona ushahidi popote hapa!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Machine ya alizeti haizidi million 20 ya uwezo wa kuzalisha zaidi ya lita hizo sasa iweje machine ya 170 million izalishe lita 700 au wajapan wamekuwa wezi!!
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Kuna utata hapa kama serikali iliagiza 2015 vichwa 13 wakaleta viwili hapo vilibaki 11. Sasa iweje leo viletwe 15 au jamaa wametoa nyongeza na kwa dunia ya sasa kampuni itoe nyongeza vichwa 4 inawezekana?! hapa kuna utata.
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Kamati ya maadili ya bunge je? Hii kamati inafanya kazi pia nje na watu wasio wabunge. Na wabunge wanaruhusiwa kumkashifu mtu ndani ya bunge na ila wao wasikashifiwe nje ya bunge. Wanasheria watusaidie hapa.
Samsung nyingi zanatengenezwa china chache Korea Simu za iphone nyingi nyuma imeandikwa designed in California made in china. Sasa tunachokwepa mchina tecno ni nini?!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.