Walitakiwa kupangiwa walipoomba na kumbuka kibali kilikuwa cha tamisemi. Nadhani walioitwa tamisemi ndio walifaulu zaidi make hawa asilimia kubwa wanapangiwa walipoomba kama usahili ulivyowadirect ( sina uhakika)😂
Nimekupata hapa nadhani kama kuna kuzidiana malupulupu ni kwa baadhi ya kada, wajuu ndio wanashiba zaidi , kama elimu yako ya sungura diploma au certificate kafurahie tamisemi uko utakuwa ata incharge na utahudhuria semina kadha wa kadha, na kama extra duty kote zipo basi hakuna utofauti zaidi...
Hivi mishahara ya tamisemi ni sawa na wizara au kunakuzidiana? Nimeona MD mmoja uko insta. Anadai hawezi kwenda kuripoti kazini kwasababu mishahara wizara kamzidi tamisemi parefu. Na kazi tamisemi wanapiga sana vile vile malupulupu kama extra duty tamisemi hayapo, je ni kweli??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.