Recent content by Mwanguku shabani

  1. Mwanguku shabani

    JamiiForums Tanzania Wanaosema tafuta hela kila Post

    [emoji3][emoji1][emoji1][emoji1]
  2. Mwanguku shabani

    JamiiForums Tanzania Wanaosema tafuta hela kila Post

    Eti tafuta hela utakuja kunishukuru[emoji3][emoji3] noma aisee
  3. Mwanguku shabani

    JamiiForums Tanzania Wanaosema tafuta hela kila Post

    Ni hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?
  4. Mwanguku shabani

    JamiiForums Tanzania Yule Mama akaniambia; umekosea kuwahi kuoa. Je, yuko sahihi?

    Ngoja waje watupe maoni yao
  5. Mwanguku shabani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimekuja kugundua naishi na mwanamke ambaye amewahi kuugua Ukichaa

    Asanteni Kwa ushauri ndugu zangu
  6. Mwanguku shabani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimekuja kugundua naishi na mwanamke ambaye amewahi kuugua Ukichaa

    Kuna mwanamke naishi naye mwezi wa Sita, sasa ila nimekuja kuambiwa na mtu wa karibu kutoka Familia yao kuwa huyu mwanamke alishawahi kuugua ukichaa mwaka 2015 akatibiwa akapona. Tatizo ni mie baada ya kujua nimeanza kuogopa. Je hili likoje? Nishawahi sikia kua mtu kama aliwahi kua kichaaa...
  7. Mwanguku shabani

    JamiiForums Tanzania Kuku ni utajiri ulio ndani ya sayansi na utaalamu na siyo mazoea

    Je kuku wa kienyeji wanaweza kuzalisha faida?
  8. Mwanguku shabani

    JamiiForums Tanzania Je, Bunge lina vikao vingapi kwa mwaka?

    Ndugu Zangu naomba kueleweshwa kidogo, nataka kufahamu Je Bunge Lina vikao vingapi kwa mwaka? Na Pia wanavyosemaga bunge la 12, au bunge la 10 huwa wanamaanisha nini?
  9. Mwanguku shabani

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) na makato yao ni maumivu makubwa sana

    Mkuu hivi wale wa UVCCM ndo kuwa kama walipewa mkopo chuo kwamba wakijiunga UVCCM wanasamehewa deni la mkopo au mie ndo sielewi?
Back
Top Bottom