Mimi naona tumalize kwa hili la madawa ya kulevya kwasababu bado tunasafari ndefu kuna ubakaji,usafirishaji haramu wa watu,kuna utakasishaji wa pesa kuna ugàidi ndipo tuanze na kughushi vyeti kujipatia ajira kwa njia ya udanganyifu kufauru mitihani kwa njia za ujanja ujanja pamoja na upendeleo...
Naamini mdomo hukiponza kichwa lakini unaweza kutoa hoja nzito bila kupigana wa kutukana na ikaeleweka ni muhimu kubadili style mfano mzuri ya baadhi ya wanasiasa ni kama dr.Slaa,Lowasa hawawezi kupata misukosuko kama hawa wafungwa
Ukichunguza vizuri wote waliolelewa na CCM ndiyo wanaokimbia baada kusitishiwa ulaji au kubanwa ili nao wafuate sheria na taratibu za nchi,ustawi wa wa Tz hautaletwa na ushabiki wa kisiasa,chuki au tamaa za madalaka bali juhudi na maarifa pamoja na uadilifu na uzalendo.
Dawa ya deni ni kulipa kanuni hiyo ianze kwa serikali ilipe madeni ya watumishi wake kwanza ili mfano huo uigwe kwa watumishi inawezekana hupendi kufikiri nje ya box lkn jaribu kuangalia uwiano huo jaribu pia kuangalia watumishi hawa wamekubali kuvumilia kusitishwa kwa nyongeza zote nk.na hoja...
Sidhani kama hili nalo linahusu wapinzani hili ni la wote kinachotakiwa wape stahiki zao watumishi wote then kata pesa wanayodaiwa kwanini iwe rahisi kuwadai wao lakini iwe vigumu kuwalipa wanachokudai!?
Ni kweli CCM inaweza kufa alafu wana CCM wote wakahamia chama tawala huu ndiyo mchezo wa kutwanga pilipili maana hatujui adui ni chama au watu waovu waliojificha kwa koti la chama na wanauwezo wa kuvua koti la kijani na kuvaa la blue au jeupe!!!Pole Tanzania yangu.
Mara tu baada ya kupata uhuru ilionekana kwamba haki za binadamu ziondolewe kwenye katiba kwani zingekuwa kikwazo cha maendeleo!wanazuoni waliponda sana lakini naanza kutambua ni kwanini walisema hivyo maana nchi zetu upinzani ni kupinga kila kitu uhuru wao unatumika kupigana na kutukana wenzao...
Siku zote utavuna unachopanda watumishi wasipo lipwa hawawezi kufanyakazi kwa ufanisi hata kama upo juu ya sheria waheshimu watu wanaokufanya upate kipato.
Hivyo ni vyama mbadala ukikosa nafasi kwenye chama mama unaondoka pia ukikosa kinga ya maovu yako unakichukia chama lakini wakati mwingine hata ukilazimishwa kulipa kodi ya mapato unahama!!!kwa mwendo huu wafungwa walio magerezani wanashabikia chama kipi?ni ngumu kunielewa ingawa kila nikiuliza...
Mmmm!huwa natamani kuona sura za hawa wachangiaji maana kwa taswira nahisi kama mijitu hii very rigid yaani wao wana waza kila jambo kipinzani tu hawa wana nia gani?nadhani Demokrasia siyo utamaduni wetu tuwaachie wenyewe hapa tuanze kufuta fikra za kipinzani wakinyooka nchi itakwenda mbele...
Sita shangaa kusikia wale wale wakidai kuwajua wahalifu wa madawa ya kulevya we subiri uone maajabu ya watz.Makosa haya ukiyashughulikia kwa usiri mkubwa napo kuna tabu zake cha muhimu hapa ni kupata ushahidi wa kutosha kabla ya kuwakamata lkn pia watu maarufu wanatumia miamvuli ya taasisi...
Ni mwanzo mzuri lkn dhamira ya dhati ndiyo kitu muhimu katika kupambana na biashara ya madawa ya kulevya.Sidhani kama njia hii ni sahihi katika kuwapata watuhumiwa ni lazima ieleweke kwamba lazima timu zote zishirikishwe kazika zoezi hili yaani upelelezi kwa maana ya kukusanya ushahidi,waendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.