Duh! kati ta wahamiaji haramu 1,634 waliokamatwa Msumbiji, 1,561 ni Watanzania

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,238
50,415
Hatimaye Msumbiji wametoa taarifa rasmi kuhusu vituko vya hivi majuzi ambapo wageni walifurushwa na kupokea kichapo na kunyang'anywa mali. Polisi wa Msumbiji wamesema shughuli yenyewe imerasimishwa na ipo kwa ajili ya kuwasaka wahamiaji haramu wanaochuma kule migodini.

Takwimu zinaonyesha kwamba Watanzania 1,561 ni miongoni mwa hao wahamiaji 1,634 waliokamatwa. Wengine 73 wametokea kwenye nchi tofauti kama vile Gambia, Senegal, Thailand and Mali

================================================
Mozambican authorities have arrested 3,220 people suspected of involvement in illegal mining in Cabo Delgado Province, local media said.

According to DW Radio, 1,634 of those arrested were foreign nationals.

DW Radio quoted the Cabo Delgado Province police boss, Mr Abdul Chaguro, saying “1,561 were Tanzanian nationals. The other 73 people were from Gambia, Senegal, Thailand and Mali”.

“The operation which started on February 9 in Montepuez District, will continue at different points of mineral exploration,” Mr Chaguro was further quoted.

Related stories

Cabo Delgado which is 1,663km north of Maputo, boasts of minerals such as gold, grenadines, aquamarines, tourmalines, blue topaz and green tourmalines.

Cabo Delgado is the northernmost Mozambican province, which borders Tanzania and is divided into 16 districts, with an area of 77,867 km² and a population of 1,893,156.

The province's capital is Pemba with other important cities including Montepuez and Mocimboa da Praia.

Tanzanian authorities reported following the situation.

“The main responsibility of the Tanzanian government through the embassy in Maputo is to make sure the law is respected,” DW Radio quoted the Tanzanian Foreign Affairs Permanent Secretary, Mr Aziz Mlima.

“We will make sure the nationals are safe and the logistics for their return to Tanzania is in order,” Mr Mlima said.

Mozambique nets 1,634 foreign illegal miners
 
Cabo Delgado imepakana na Tanzania kwa hiyo sio ajabu. Hata makabila ya pande zote mbili ndio hayo hayo Wamakonde na Wamakua.
Hata ukienda Kilimanjaro wahamiaji haramu wengi ni Wakenya.
 
Makes sense, ndio maana tupo na Wachagga wengi huku.
 
The "ethiopians" of SADC

atleast Wahamiaji haramu toka kenya kwenda nchi zingine hupanda Ndege
Yaani haya majigambo yangelikuwa ni kweli bhasi wakenya wangekuwa ni specie ya aliens from mars na kenya nzima ingekuwa kama mega city flani yaani everybody is rich na hakuna dhiki....

Najaribu kufasiri
 
Hao msumbiji wamejitoa ufaham tu..
Watu kweny mipaka yetu huish kama ndugu mfano..zambia na tunduma / mbeya...uganda na bukoba...nk..wanaish kama ndugu na wanafanya biashara zao vizur tu..sasa hao msumbiji wamelianzisha..subir uone muitikio wetu...ukibisha muulize kagame anatujua
 
Dhambi hii itawatafuna kama walio zoea kula nyama ya mtu amini nawaambia wakiwamaliza wageni wataanza kutafutana wao kwa wao.
 
Badala Wajiandae na mafuriko yatakayo wakabili aka kimbuga maji wako busy kufukuza watakao wahifadhi time will tell msumbiji laana iyo haitawaacha
 
zipo wapi zile arthi zenye rutuba kupindukia tanzania wanazuia wakenya kuingia tz wazije wakazinyakua, huku wanzao wanahamia kiharamu maputo kuwa omba omba jameni!!!
 
Sasa na sisi tunasubiri nini? Makonda kama wewe kweli unaipenda Tanzania. Anza kuwatimua wahamiaji wa msumbiji nao waipate joto la jiwe. Wacha kuwabambika wapinzani kesi za madawa na wasanii.

Ndukiiiii
 
Ikiwa waTza wapo wengi hivyo hiyo inamaanisha wapo vizuri katika kuziendea fursa... Na kuthubutu.
 
zipo wapi zile arthi zenye rutuba kupindukia tanzania wanazuia wakenya kuingia tz wazije wakazinyakua, huku wanzao wanahamia kiharamu maputo kuwa omba omba jameni!!!

Soma habari vizuri, sio Maputo, ni cabo elgado.
 
Hatimaye Msumbiji wametoa taarifa rasmi kuhusu vituko vya hivi majuzi ambapo wageni walifurushwa na kupokea kichapo na kunyang'anywa mali. Polisi wa Msumbiji wamesema shughuli yenyewe imerasimishwa na ipo kwa ajili ya kuwasaka wahamiaji haramu wanaochuma kule migodini.

Takwimu zinaonyesha kwamba Watanzania 1,561 ni miongoni mwa hao wahamiaji 1,634 waliokamatwa. Wengine 73 wametokea kwenye nchi tofauti kama vile Gambia, Senegal, Thailand and Mali

================================================
Mozambican authorities have arrested 3,220 people suspected of involvement in illegal mining in Cabo Delgado Province, local media said.

According to DW Radio, 1,634 of those arrested were foreign nationals.

DW Radio quoted the Cabo Delgado Province police boss, Mr Abdul Chaguro, saying “1,561 were Tanzanian nationals. The other 73 people were from Gambia, Senegal, Thailand and Mali”.

“The operation which started on February 9 in Montepuez District, will continue at different points of mineral exploration,” Mr Chaguro was further quoted.

Related stories

Cabo Delgado which is 1,663km north of Maputo, boasts of minerals such as gold, grenadines, aquamarines, tourmalines, blue topaz and green tourmalines.

Cabo Delgado is the northernmost Mozambican province, which borders Tanzania and is divided into 16 districts, with an area of 77,867 km² and a population of 1,893,156.

The province's capital is Pemba with other important cities including Montepuez and Mocimboa da Praia.

Tanzanian authorities reported following the situation.

“The main responsibility of the Tanzanian government through the embassy in Maputo is to make sure the law is respected,” DW Radio quoted the Tanzanian Foreign Affairs Permanent Secretary, Mr Aziz Mlima.

“We will make sure the nationals are safe and the logistics for their return to Tanzania is in order,” Mr Mlima said.

Mozambique nets 1,634 foreign illegal miners
Maji siku zote hayasahau njia yake hata iwe miaka elfu yatarudia tu njia yake! hofu yangu nikwamba wamsumbiji wamewafukuza wanamsumbiji wenzao! kuna uhusiano mkubwa sana wa kimaisha katika mipaka yetu ya nchi za kiafrika hususani katika lugha,vyakula na tamaduni zao! kuziingilia hizi tamaduni kwa njia neno FUKUZA ni ufinyo wa uelewa kihistoria na impact yake ni kutengeneza UADUI ambao gharama yake ni mbaya mno! mfano leo yakatokea mafuriko au vita vya wenyewe kwa wenyewe nani atampokea wa msumbiji! kungewekwa taratibu nzuri za kutokudhalilishana ili kuhifadhi hadhi ya ujirani mwema! ushauri wangu kwa wote ni huu, Tusiwe wepesi kupandikiza chuki kwani daima itakudhuru na wewe siku moja!
 
Back
Top Bottom