Tatizo: Sahara media

Tatizo: Sahara media

Matangazo yao yanaonekana vema, sauti juu na hayatetereki.
 
Kwa makato haya nihamie Dstv wee dora ikipanda na bei inapenda
Magadora Dadoma! Natania, nimeona Dora nikakumbuka tangazo la magodoro Dodoma linalosemwa na wahindi.
 
RFA, star TV wamepoteza muelekeo nahisi hawajalipwa hela za kampeni 2015
 
Siku zote utavuna unachopanda watumishi wasipo lipwa hawawezi kufanyakazi kwa ufanisi hata kama upo juu ya sheria waheshimu watu wanaokufanya upate kipato.
 
Back
Top Bottom