Recent content by mwangambaku

  1. M

    Nauza kiwanja changu kina sqm 937, kipo Cheka Kigamboni

    Kimepimwa na kina ofa . Kipo umbali wa 25 km toka feri ya magogoni na umbali wa 1km toka barabara kuu BI NI 7,000,000/= tuwasiliane 0755 099 291
  2. M

    Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

    pole mdogo wangu Wema , Mungu anaweza nenda pale ubongo kibangu kwa mzee wa upako atakuombea kwa jina la Yesu tapata mume na mtoto utadhaa. kwa MUNGU hakuna lisilo wezekana
  3. M

    Mnaowalaani Al Shabab, mnajua wanachofanyiwa Wasomali kwenye nchi yao na askari wa Kenya?

    unapowatetea hawa jamaa inabidi uwe na moyo kama wa mwenda wazimu inawezekana ukawa sahihi lkn .....
  4. M

    Mch. Gwajima amgomea Makonda

    safi sana baba askofu mwenyewe nilikuwa najiuliza huyu mkuu wa wilaya vipi? kama kuwapatanisha si awaite wote? kwa nini asubiri mpaka mzee kova amwite ndipo naye anataka kupatia ujiko hovyo.
  5. M

    Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

    hizi imani sijui zinatoka wapi siku hizi sielewi kama maandiko ya hivi vitabu yanabadilika au sababu katika utoto wetu mpaka uzee huu hatukuwa tunaona ujinga huu na dini ni zile zile. jamani
  6. M

    Msanii JUX aonesha mjengo wake mpya!!

    hongera sana bwana mdogo , hayo ndiyo maendeleo zidi kuendelea mbele
  7. M

    Tunakata vinakatwa miguu 50 x 50 vinauzwa

    Viwanja hivi vipo tambalale , na ni vizuri vinakatwa kwa ajili ya makazi miguu 50 x 50 , kwa bei ya 4m. vipo vikindu kisamvule , mkuranga Pwani . ni mwendo wa km 16 kutoka mbagala rangi 3. tuwasiliane 0755 099 291 bei milioni 4. tu! havijapimwa lakini tayari watu wameanza kujenga na wanaishi...
  8. M

    Nauza laptop dell d 360, Tshs 120,000

    Hiyo video card inaweza kuathiri nn kwa mtumiaji wa kawaida? naweza kufanya v2 gn na siwezi fanya v2 gan? nieleweshe
  9. M

    Sifa za mwanaume amtakae Lady Jay Dee kwa sasa

    nakubaliana na wewe yaani anaonesha ni madongo kwa bro msingi kiuno .
  10. M

    Nyumba inapangishwa Moshi bar

    Nyumba ya vyumba 3 vya kulala , kimoja master jiko , dining , public toilet na store , inapangishwa eneo la kipunguni B mosh bar , maji yapo ya kutosha bei ni Tsh 250,000 kwa mwezi , miezi 6 anachukua. Kipunguni B ipo ukonga banana unafika kituo cha mombasa kisha unapanda daladala kwenda moshi...
  11. M

    Nina Milioni 4 nahitaji gari

    nina tayota baloon imesima sana nichek kwenye 0755 099 291, pia kuna colola kama 2 hv
  12. M

    Ware house / godown inauzwa

    Ipo barabara ya Pugu karibu kabisa na Bakharesa co ltd, pale makutano ya Tazara , eneo lina ukubwa wa sqm 200, kuna godown na nyumba ya gorofa tayari vipo, picha zitafuata , eneo limepimwa nyaraka zote muhimu zipo , bei ni 300m. kwa mahitaji ya kuona au kununua. Tuwasiliane 0755 099 291
  13. M

    Linahitajika eneo lililojengwa Madarasa, Yawe manne kwa ajili ya kupanga haraka iwezekanavyo

    nyumba zipo nyingi mikocheni kuna 1 ina gorofa 2 inapangishwa usd 3500, pia kinondoni kuna nyumba 2 zina vyumba zaidi ya 5 moja inapangishwa kwa 1,000,000 na unginie ni 800,000 we njoo nikupeleke ukazione 0755 099 291
  14. M

    Natafuta kiwanja maeneo ya Bagamoyo Kilomo!

    ni sqm 900 bei 48m ina hati
  15. M

    Linahitajika eneo lililojengwa Madarasa, Yawe manne kwa ajili ya kupanga haraka iwezekanavyo

    vipi kama ntawapatia nyumba nzima vyenye vyumba 5 ambavyo tavifanya madarasa ni ipo karibu na bara bara ipo kinondoini unasema ?
Back
Top Bottom