Natafuta kiwanja maeneo ya Bagamoyo Kilomo!

mwayacity

Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
23
Reaction score
1
Mwenye eneo la kiwanja kilomo upande wa kushoto as u go bagamogo anijuze budget 2.5-3.0million.0763479113
 
mkuu mi nina viwanja 2 bagamoyo mjiini vimepimwa na kingine kipo hapo mikocheni kwa mwalimu labda tutashindana kwenye hiyo budget yako . vyangu kuna sqm 1200 kinataka 25m, kina hati labda nikutafutie ambacho hakijapimwa unaweza nicheki kwenye 0755099 291
 
Hicho cha mikocheni ni cha ukubwa gani na bei ikoje?
 
Back
Top Bottom