Recent content by Mwanga Jr

  1. M

    Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam, Dr. Valentino Mokiwa avuliwa uaskofu

    MUNGU alisaidie kanisa. Migogoro ni mingi sana katika kanisa la Anglikana,nakumbuka mgogoro wa Singida mpaka ilibidi wakati wa Ibada kulindwe na polisi.
  2. M

    BAVICHA wameipa Serikali siku saba kutoa kauli kuhusu wanafunzi kukosa mikopo

    BAVICHA mnajitambua nipo pamoja nanyi...tunawasubiri kwa hatua zaidi tutee haki ya kila mwanafunzi kupata mkopo...Siwasikii hawa vijana wa Lumumba (UVCCM) maana ni wachumia tumbo wanashindwa kutetea maslahi ya vijana wenzao kazi kujipendekeza tu kwa watawala...
  3. M

    Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    Hii Serikali imeshindwa mapema mno.Yaani hizi sababu za kitoto zinatolewa na kiongozi anayejiita msomi..Mh Mtukufu Raisi kuongoza nchi umeshindwa mapema mno.Wapi LOWASSA elimu bure mpaka chuo kikuu.
  4. M

    Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Kama sijaelewa hivi...lakini zamani ilikuwa ni shida sana kufaulu ule mtihani wa Msingi, walitumia sana majina ya wale waliofaulu wakashindwa kuendelea.. Nahisi bado ufafanuzi haujakamilika...Lakini sioni shida sana kwa yule aliyeanzia pale na kufikia Elimu ya juu zaidi kama huyu kiongozi kwa...
  5. M

    Makosa ya Mtandao: Aliyetaka Mwamunyange apindue nchi ashinda kesi

    Kukurupuka siku zote mwisho wake uovu...
  6. M

    Jaji Warioba: Nchi imepoteza mwelekeo, inaendeshwa na matukio

    Hawa wazee tunasema ni hazina.Lakini wamekuwa bubu kwenye masuala nyeti ya taifa hawatokei hata siku moja kuonya na kushauri kama ilivyokuwa kwa baba wa taifa JK Nyerere
  7. M

    Nape aijibu Marekani, ataka ianze kujinyooshea kidole kabla haijaiangalia Tanzania

    Haahaa!! Nape hili suala sio saizi yako,labda waziri Mkuu ama Mh. Raisi angelitolea maelezo,na tusijifanye tunaweza kuwapinga hawa jamaa wakiamua jambo.
  8. M

    Akaunti za benki za mke wa zamani wa Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan zashikiliwa

    Hivi ndivyo vipaumbele vyetu Afrika. Je ni ajabu sana mke wa raisi kuwa na kiasi hicho cha pesa.
  9. M

    Watanzania waliokuwa wametekwa Congo waokolewa

    Naona Congo wameamua kulipa hiyo pesa waliyokuwa wanataka
  10. M

    CCM Zanzibar yataka Maalim Seif Sharif Hamad azuiliwe hafla za kitaifa

    Sindano huwa inachoma sana pindi ukiikalia pasipo kuiona....salaamu tu shida Je yeye aliyepokwa ushindi....
  11. M

    DAR: Jeshi la Polisi Kanda Maalum kuwachukulia hatua kundi la kisanii la Orijino Komedi

    Haa! Tutawachukulia hatua za kisheria...nani hao..Tusubiri tuone..
  12. M

    Spika Job Ndugai afunguka, aahidi kukaa chini na UKAWA

    Tulia anatumia "defensive mechanism" kwa kuwa yeye ni Mwanamke anaona kama wabunge wengi wanataka kumdharau,au pengine pia ni maelekezo maalum. Ndugai ameonesha nia tusubiri atengeneze muafaka.
  13. M

    Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

    Niliwahi kusikia yeye pia ni miongoni mwa waabudu shetani(devil worshipper). Nahisi hilo ndo linamfanya alie machozi au.....
  14. M

    Nape: Chombo cha Habari kitakachoripoti habari ya kichochezi kitahesabiwa kuhusika na uchochezi

    Hii ndiyo nchi yetu kwa sasa.Mkuu wa nchi na mawaziri wake wanatembea kwenye njia moja ya kuukandamiza Uhuru wa vyombo vya habari. "Kiongozi yeyote asiyefuata katiba aliyoapa kuilinda hatufai" Mwl.Nyerere.
  15. M

    Rungu la TCRA lawashukia tena Clouds Media na ITV

    Haahaa hawa TCRA wanaangalia nyimbo tu za bongo au....mbona hii ya WORK na ANACONDA za rihanna na nick zinapigwa mchana kweupeeee na watoto wetu wanaangalia?....
Back
Top Bottom