Recent content by mwandendiea

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la Umeme (TANESCO) limetangaza Nchi kuwa gizani kwa siku 7

    Sijajua msichoelewa no nini wametangaza wanafanya kazi ya kuunga mitambo ya kinyerezi1 ambayo ni Mw 150 itakayo maliza tatizo la mgao ndio maana wametangaza sasa hili LA ukawa no upotoshaji wa makusudi acheni
  2. M

    JamiiForums Tanzania Umeambiwa, Lowassa ni muongo, tapeli, fisadi, na bado una mshabikia! Una matatizo makubwa

    Nani msafi wote kijani kuna majizi kibaooooo
  3. M

    JamiiForums Tanzania TCRA yaipa onyo kali TBC1 kwa kosa la Ubaguzi wa kusoma habari za Magazetini

    Jamaa anaogopa watamtido mhando
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kumtawala mtanzania simple

    Akili za kuku anadanganyiwa mahindi ya kurushiwa akipelekewa kisu kuwa mboga
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sugu kuenguliwa kura za maoni

    We chizi kweli sugu katatua migogoro mingapi hata useme vijana wamemchoka huna jipya
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii kali sana

    Chezea mbongo wewe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Wewe mtoa Maada inaonyesha wazi huna upeo mkubwa wa kufirikiri ndo maana umefikiria hayo wakati kuna mengi kwa faida ya nchi
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tutawatetea mahakamani wakurugenzi waliowajibishwa na serikali

    Wanafukuzwa kwa kua hawakutimiza dhamira ya ccm elewa hivyo we we unaewashangaa cdm unaujua ukweli ccm no wajeuri sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    Nimemsikiliza nimjeuri huyo kuiba kaiba ila mjeuri sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Masaburi amkana Lowassa, ataja sifa za Pinda kama Rais ajaye

    Linda mhmmmm kachemka sana nafikiri ikifikia hapo nchi haina kiongozi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

    Sasa hoja ya msingi mimi siioni kwani mbona hata we we ni mzizi hatusemi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri Nchi Wahisani Waje WATUAMURU Hatua za Kuchukua Kwenye Wizi?

    Watanzaniaaaaaaa vichekesho kwelikweli kama hadithiiiii sasa hao waliolipwa fedha ni zawadi kwa lipi au wao ndo wazalisha umeme?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kinana na timu yake waingia katika vijiji vya Jimbo la Liwale-Lindi, wahutubia umati wa wananchi

    Jeameongelea ukosefu was madawa na vitendea kazi vya hospitali ya wilaya au mambo ya msingi yanaachwa? tatizo wananchi hatuna uelewa pole zetu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hii habari ya uuzwaji wa NBC imenisikitisha sana, naamini itamsikitisha kila mzalendo wa nchi hii

    Hii ndio Tanzania bhana hakuna anaengalia wananchi maskini. wakulima maisha yao yapo vipi wana Lima kwa gharama kubwa wanauza bei kiduchu mnunuzi indie mpanga bei wao wanasisitiza kilimo kwanza matokeo makubwa sasa hakuna hata mmoja mwenye uchungu na nchi hii inauma sana
Back
Top Bottom