Mimi ni wakili mpya ambaye nimeapishwa december 2014.Natafuta law firm nijishikize .Nipo Dar Es Salaam ila tatizo sijui watu sababu natokea mkoani.mwenye uwezo wa kunisaidia ani PM.Thanks
Habari.KWa wale wenye computers na wanahitaji anti-virus ya ukweli ina expire mwaka 2038 bei tsh.15000 tu.nipo Sinza-Dar es salaam. Napatikana kwenye number hii 0659880935
If you are born poor it is your parents fault but if you die poor it is your fault. Mwanazuoni nipo napambana sorry my message ya jana nilikuwa nawachemsha tu.
Leo muda wa saa tano bungeni nimemsikia waziri wa sheria mh Dr.migiro na mwenyekiti wa kamati ya sheria na. Katiba mh ngeleja kuwa wanatarajia kutoa ajira 489 za state attorneys kwa mwaka huu wa fedha 2014/2015.Kila la heri mliopita law school.
Ku-graduate sasa hivi sio dili ni kama mtu aliyemaliza form four kwa hali ya tanzania ilivyo sasa. Wengi wa ma-graduate nowdays 1) kujiamini ni zero ushaidi ni pale tunapowafanyia oral interview 2) ana cheti lakini kichwani hamna kitu kuhusiana na alivyosomea i.e elimu sio cheti ni uwezo jamani...
Ndugu zangu tatizo la ajira tanzania sasa hivi limekuwa kubwa sana inaeza tangazwa nafasi moja waka-apply watu alfu mbili. Sasa mimi nilikuwa na wazo kwa nini tusianzishe maandamano ya wasiokuwa na ajira especially sie tuliopo Dar-es-salaam ili serikali na sector binafsi zipate pressure ya...
Wana jf. Leo jumamosi asubuhi nilikuwa maeneo ya mabibo sokon nikifannya shopping na gari langu nikiwa nimepaki pembeni mwa barabara(reserve road) ile narudi kutoka ndani sokoni ghafla wakatokea hawa jamaa wanajiita MWAKINGA AUCTION MART nakukamata gari langu. Hawa jamaa wana njaa ya hatari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.