Recent content by Mwanazuoni

  1. M

    Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

    Watanzania tunapenda sana habari za kutunga. Aliyekuamba Regina ni mmasai ni nani?
  2. M

    WIKIPEDIA wamkaanga Edward Lowassa, sijui ataponea wapi huyu bana

    Alyekuambia Wikipedia inaandikwa na wazungu ni nani? Unajau jinsi ambavyo habari zinapatikana wikipedia?. Hata wewe unaweza kuandika tu chochote mule na ndio mana it has never been a reliable source of information. So inawezekana haya yaliyoko huku yameandikwa na mmoja wa maadui wa Lowasa.
  3. M

    Kura za maoni CHADEMA Mtwara mjini: Habari ya mjini ni Joel Nanauka

    Joel for Mtwara _Chadema
  4. M

    Mwenyekiti CHADEMA Mtwara anatumiwa na nani kuvuruga uchaguzi kura ya maoni?

    Hatimaye Joel kaibuka na ushindi mkubwa wa aslimia 63 kura za maoni Mtwara Mjini.
  5. M

    Mwenyekiti CHADEMA Mtwara anatumiwa na nani kuvuruga uchaguzi kura ya maoni?

    Ni kweli hapa sio ofisi ya CDM lakini nadhani ni vema mambo kama haya yakawekwa public watu wajue nini kinachoendelea.
  6. M

    Bonge la ubunifu kuhusu uchaguzi mkuu

    Tuwaulize Maswali Wanaotuomba Kutuongoza Kupitia Uchaguzi Mkuu Tanzania 2015
  7. M

    Zito, Filikunjombe, nimeamini Vijana wanaweza!

    Ni wazi kwamba anayetoa pesa cash kwenye account ni mwenye account mwenyewe hivyo withdraw peke yake haiwezi kuonesha baada ya mwenye account kutoa ni nani walipewa.
  8. M

    Tanganyika imerudi

    Ndiyo Tanganyika rudi
  9. M

    Nimekutana na Maswali ya Kunisumbua

    Baba Desi Hivi ni kweli ameficha rushwa? hebu jaribuni kumuelewa huyu jamaa. .
  10. M

    Nimekutana na Maswali ya Kunisumbua

    Ndugu Peter, kuandika hapa haikua na lengo la kutoa habari. Badala ya kutaka tu kujua ni nani au ni kampuni gani, hebu jipe muda kidogo wa kutafakari uone ni nini mwaandishi ametaka kukifikisha kwenye hadhira. Usiiangalie tu kama habari
  11. M

    Mbunge Rweikiza wa Bukoka Vijijini: Mbinu anazotumia kwa Wizi katika Shule yake ya St. Anne Maria

    Ungeondoa hiyo n mwishoni...iliingia kwenye hiyo link kwa makosa http://www.necta.go.tz/matokeo_html_2013/CSEE_2012/s1343.htm
  12. M

    Mbunge Rweikiza wa Bukoka Vijijini: Mbinu anazotumia kwa Wizi katika Shule yake ya St. Anne Maria

    Ndugu wanajamii, Mbunge wa Bukoba ni mmiliki na Mkurugeni wa Shule ya St. Anne Marrie iliyoko Kimara jijini Dar es Salaam. Shule hii kwa sasa ina wanafunzi wa kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita.
  13. M

    Dr. Bana: CCM bado ni chama imara, kinasikiliza watu!

    Bana ndio kauwa REDET..
Back
Top Bottom