Recent content by Mwanaume MASHINE

  1. Mwanaume MASHINE

    JamiiForums Tanzania Ujasusi Sebuleni Kwetu

    heshima kwako Mkuu, naomba uwe unanitag
  2. Mwanaume MASHINE

    JamiiForums Tanzania Wakimaliza hili la ving'amuzi na line za Simu kinachofuata ni kwa wamiliki wa simu zenye intaneti....

    pale una line moja mfano line ya tigo alafu unataka kumpigia simu mtu wa tigo huna budi kwenda kibanda cha simu wadau fursa ya vibanda vya simu inarudi
  3. Mwanaume MASHINE

    JamiiForums Tanzania Wakimaliza hili la ving'amuzi na line za Simu kinachofuata ni kwa wamiliki wa simu zenye intaneti....

    hongera mkuu unamiliki simu tatu mimi nina simu moja na line 6
  4. Mwanaume MASHINE

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    matumizi ya line zangu: 1.tigo=aisha,fatuma na happy 2.zantel=amina,manka,zuwena na rose 3.airtel=janeth,fatuma na mwajuma 4.voda=zawadi,stamili na neema haloteli=bando za internet nikiwa na line moja si nitakosa wachumba,hapa napinga hoja
  5. Mwanaume MASHINE

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    kwani Da Mange anasemaje kuhusu suala hili?
  6. Mwanaume MASHINE

    JamiiForums Tanzania Kipi hasa kiliikumba SS Ourang Medan

    dunia ina mambo
  7. Mwanaume MASHINE

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

    Mkuu funguka kidogo
  8. Mwanaume MASHINE

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

    MKUU hivi hujui mkataa kwao ni mtumwa?,tunapenda K kwasababu ndo tulipotoka siyo vibaya kupeleka salam za pongezi mara kwa mara:cool::cool::cool::cool:
  9. Mwanaume MASHINE

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

    alikufa au ilikuwaje mkuu malizia story
  10. Mwanaume MASHINE

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa bundi kutambua kifo cha mtu

    intersting lakini wabongo tunapinga hoja sisi tunaamini zaidi mambo ya art bin zuruza MKUU...all in all uandishi mzuri pia uchambuzi mzuri imetulia
  11. Mwanaume MASHINE

    JamiiForums Tanzania UNAJIMU: Sayari ya Mercury na Athari zake katika Maisha yetu

    UPUUZI HUU FANYA KAZI KIJANA ACHA UTAPELI
  12. Mwanaume MASHINE

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Tundu (Hollow) katika Ncha ya Kaskazini linalotoa miale ya Mwanga kutokea Ndani ya Dunia?

    nondo ya mwaka hii...ni mengi hatuyajui kuhusu dunia
  13. Mwanaume MASHINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mkaka mdogo ananipenda mpaka familia yake wanajua nifanyeje kuepuka usumbufu?

    huyo mvulana ni mtaalamu Mshana Jr au yupi?
Back
Top Bottom