Recent content by Mwanasulwa lady

  1. M

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB kusimamia Mfuko wa Faida Fund unaoendeshwa na Watumishi Housing

    Jinsi ya kutoa hio hela ukiwekeza unafanyaje..niliweka uko ela sas hio hela nashida nayo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kujiendeleza

    Kwa sasa nipo arusha..Napendelea mambo ya research
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kujiendeleza

    Umenena point mno..shukran
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kujiendeleza

    ada yake ikoje boss
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kujiendeleza

    mm ni KE
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kujiendeleza

    Habarini WanaJF Natumaini hamjambo wote. Mimi nimesome Bachelor Degree in Biology lakini nimejaribu kutafuta kazi nakosa naambiwa coarse yangu ni general sana. Nilikuwa naomba mwenye kujua kozi ambazo naweza kujiwndeleza ili niwe specific Natanguliza shukrani
  7. M

    JamiiForums Tanzania bachelor of science in biology

    tunaomba mwongozo mkuu
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana wa Kitanzania akipata mchumba na kufunga ndoa anajiona amepata degree (Hons)!

    Ukipata right person na mmependana kuna tatizo kuolewa?kuna watu kwann mnapenda kuwapangia wengine maisha?
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

    Thank you more...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

    😂😂
  11. M

    ufanye ivo kwa binti zako
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

    kwa io wew utaozesha kwa 100M?
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

    Sina bikra
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

    kwa io imeandikwa baba akuchagulie mume..Kama huna ushauri tulia Nionyeshe ni wapi iliandikwa baba anaweza kukutafutia mume..Tumieni vizur maandiko sio kupotosha watu
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

    Kwa io vijana wa hovyo wapige mimba wasepe..Ok ok
Back
Top Bottom