bachelor of science in biology

bachelor of science in biology

wankyomimi

Member
Joined
Sep 11, 2018
Posts
46
Reaction score
36
jamani mlosoma hi koz au mnaofahamu ikoje nisaidieni manake nimekosa food science halafu nataka nisome hii kama daraja la kufikia kweny food science kupitia hii kozi
wenye ushauri wowote nisaidieni mawazo yenu
 
Umechaguliwa chuo gani angalia kama ipo chuo ulichopangwa unaweza kwenda kubadili hiyo process ifanyike mapema sana.
 
Mkuu kwa muda uliosubii mpaka sasa ni kwamba hutapata jibu mapema.
Ni jambo zuri kushea vitu humu na wenzio ili uwasidie na usaidiwe pia as unaingiza jambo jipya kichwani.
Unaweza kuingia google na kuandika application od Bachelor of Science in biology halafu utaona hiyo bachelor inatumika wapi.
Nategemea uwe na vyanzo mbalimbali vya kupata msaada! JF pekee haitakutoa.
 
Wengi kwa Tz huishia kuwa waalimu au wanafoji foji unapelekwa misitu.
 
Jaman koz yeyote ya ualimu lazima ina neno education so, iyo sio ualimu n mwana biologia, kwa tz ya sasa kupata kazi ya iyo kitu inahitaji connection kubwa tu,so jipange
 
Ninafahamu. Ualimu ina special courses ila hawa wa Biology au sijui Physics kwa Tz huishia kuwa waalimu tena in private schools japo c mahali sahihi kwao.
 
jamani mlosoma hi koz au mnaofahamu ikoje nisaidieni manake nimekosa food science halafu nataka nisome hii kama daraja la kufikia kweny food science kupitia hii kozi
wenye ushauri wowote nisaidieni mawazo yenu
Nmesoma hiyo kozi. Nicheki pm
 
ni ukweli usiopingika kuwa bsc in bio kibongobongo ni mwalimu tu wa biology lakini kwa wenzetu naamin ina maana kubwa zaidi ya hapo......naifananisha na psychology....yan bongo mwanasaikolojia si mtu wa maana.....kwa wenzetu ni madaktari wa ubongo....na fikra.
 
Mkuu kwa muda uliosubii mpaka sasa ni kwamba hutapata jibu mapema.
Ni jambo zuri kushea vitu humu na wenzio ili uwasidie na usaidiwe pia as unaingiza jambo jipya kichwani.
Unaweza kuingia google na kuandika application od Bachelor of Science in biology halafu utaona hiyo bachelor inatumika wapi.
Nategemea uwe na vyanzo mbalimbali vya kupata msaada! JF pekee haitakutoa.
nimefika mpaka huko google unaposema mkuu lakini naona google inanipa uzuri wa bsc in biology ambapo kiuhalisia sidhani kama kwa tanzania ni applicable......ni kozi nzuri ila nimegundua hii ni tanzania na bado hatujafikia level ya kuona na kuwezakuutumia uzuri wa hii kozi.....na ndo maana post nyng humu zinasema kazi ni ngumu kupata
 
Ni kweli mimi nakushauri usome kitu ambacho unaweza kujitegemea mambo ya kuajiriwa achana nayo kabisa.
 
Back
Top Bottom