Recent content by MWANASERUNGWI

  1. M

    Trafiki afa baada ya kukamata daladala

    Acheni fikra potofu siku yake imefika imelazimu aende kwa muumba wake!
  2. M

    Ajali mbaya: Basi la Sumry laua 14 huko Singida!

    Tuombe allah awape makazi mema peponi wale wote waliopoteza maisha, aamin aamin.
  3. M

    Mjue Nyangumi (Whale): Sifa, uwezo na maisha yake

    Asante mkuu kwa elimu hii hasa kwa wasiommjua nyangumi! Na anaweza akawa na ukubwa na uzito zaidi ya huo ulioeleza hapa kulingana na umri au eneo gani anaishi.
  4. M

    CHADEMA wampongeza Rais Kikwete kwa Maendeleo wilayani Karatu

    Ni wajibu wa serikali kuhudumia wananchi wake bila kujali chama chake au itikadi ya yake.
  5. M

    Watu 20 wafa ajalini Busega

    Jamani tunawapa pole ndugu na jamaa wa marehemu na kuomba wale waliojeruhiwa kupona haraka.
  6. M

    Mwanasayansi kutoka nchini Japan, amegundua miwani ya ajabu

    Kuna ajabu gani? Hakuna cha ajabu ktk dunia hii wandugu !
  7. M

    Huyu askari mwenye bidii hatimaye amejishindia Million Mbili!

    Anastahili kupewa mwenye jitihada hufanikiwa, wahenga walinena mgaa upwa hali wali mkavu.
  8. M

    boda boda na bajaji marufuku kuingia katikati ya jiji

    Dada fiora sheria hii inahusu zile za biashara tu.
Back
Top Bottom