ni marufuku.
PRIVATE MOTORBIKE
Vipi kama mtu ana pikipiki yake binafsi nayo inakatazwa kuingia mjn?
Vipi kama mtu ana pikipiki yake binafsi atakatazwa kuingia nayo mjini?
mkuu kwani huko mbezi na tegeta huwa hazipati ajali? mi kiukweli mamikokoteni wayatoe mjini tubakinayo hukuhuku uswahilini kwetumkuu mimi natumia public transport(daladala)lakini sikubaliani na uwepo wa bodaboda mjini,nenda MOI uone ubaya wa bodaboda.
kuanzia tarehe saba mwezi huu ni marufuku kwa pikipiki maarufu kama bodaboda na bajaji kuingia katikati ya jiji la dar es salaam.kauli hii imetolewa na sumatra.abiria watatakiwa kupanda bodaboda au bajaji kutokea pembezoni mwa mji na baadae kupanda mabasi yanayohudumia katikati ya jiji.
my take:naipongeza sumatra kwa uamuzi huu hasa ukizingatia kero inayoambatana na vyombo hivi vya usafiri ikiwa ni pamoja na uvunjaji wa sheria za nchi unaofanywa na madereva wake.ushauri wangu ni vizuri amri hii ikaenea katika miji yote nchini kwani kero ya bodaboda imekuwa ni kubwa mno.
ayaaa aisee ndo umetufungua macho.huyu mtu cjui alidhani leo ni tar 1 mwez wa 4.aisee wengine tumeparamia hbr.teh teh tehNaona watu Mnatiririiika bilakuangalia tarehe ya post duh
wapi ww ushaambiwa soma tar ya topic hapo juu.Big up sumatra.
Naona watu Mnatiririiika bilakuangalia tarehe ya post duh
Mbona hivi tena! mwaka umerudi nyuma au macho yangu.Last edited by kipindupindu; 4th November 2011 at 20:23.
[h=2]Sunday, April 6, 2014[/h] [h=3]Sijaridhika na majibu ya Mkuu wa Mkoa kuhusu mgogoro unaoendelea juu ya usafiri wa pikipiki/bodaboda na bajaji katikati ya jiji la Dar es Salaam[/h]