Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) unakabiliwa na maswali kuhusu mustakabali wa klabu za waandishi wa habari za mikoa, huku baadhi ya wanachama wakieleza kuwa utegemezi wa muda mrefu kwa umoja huo umechangia klabu hizo kudhoofika na kupoteza uwezo wa kujiendesha zenyewe...
Maswa, Simiyu: Wakulima wa pamba wilayani Maswa wameonywa kutokubali kuuza pamba kwa mkopo, bali wahakikishe wanalipwa fedha zao mara moja baada ya kukabidhi zao katika vituo vya ununuzi.
Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Maswa, Lukas Kuwingwa, amesema taasisi hiyo iliingilia kati baada ya wakulima wa...
Mheshimiwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, wananchi wa Wilaya ya Maswa wamepokea kwa masikitiko taarifa ya kuahirishwa kwa ziara yako. Wengi walikuwa na matumaini makubwa kuwa ujio wako ungekuwa mwanzo wa kupata ufumbuzi wa migogoro ya ardhi inayowatesa kwa...
Kusaidia familia iliyofiwa ni jambo la ubinadamu na linapaswa kupongezwa. Hata hivyo, pale misiba inapogeuzwa kuwa uwanja wa mashindano ya kisiasa na njia ya kujijengea umaarufu, ni wakati wa wananchi kujiuliza kama huo ndio uongozi wanaouhitaji.
Swali la msingi ni hili: Kwa nini nguvu na...
MKUU wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Dkt. Vincent Anney ameongoza juhudi zilizofanikiwa kuvunja ndoa ya kimila iliyokuwa imefungwa kati ya Mahene Kulwa na mwanafunzi aliyekuwa amechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka huu, baada ya kubainika kuwa aliolewa kwa mahari ya ng'ombe 15.
Tukio...
Ni jambo la kushangaza Katibu wa CCM wilaya ya Maswa,Efreim Kolimba ambaye ni kiongozi wa kundi la WhatsApp liitwalo CCM MASWA,KUJADILIANA SERA ZA CCM NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM kuligeuza kuwa la kuwatukana Viongozi wa CCM na Serikali.
Viongozi wanaotukanwa na kushambuliwa kwa lugha za...
Mapokezi makubwa anayopata Mbunge wa Jimbo la Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, katika ziara yake ya kuwashukuru wananchi na kusikiliza kero zao yanaendelea kuonyesha kiwango cha imani ambacho wananchi wameweka kwake.
Katika Kata za Mbaragane na Lalago, wananchi wamejitokeza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.