Recent content by mwanangwa130

  1. mwanangwa130

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wafanyakazi wa kigeni katika Hoteli za kitalii Tanzania - Ramada case

    Kumekuwa na idadi kubwa sana ya raia wa kigeni wakifanya kazi katika mahoteli hapa nchini , either pasipo kuwa na vibali halali au pasipo kuwa na sifa stahiki- kwa mfano unakuta raia wa kigeni eti anakuja nchini kuwa purchasing manager katika hotel wakati kuna wazawa wengi ambao wanamaliza...
  2. mwanangwa130

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta

    Mkuu malinzi vipi maendeleo ya team ya wale vijana waliomaliza juzi michuano:cool2::cool2:
  3. mwanangwa130

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapata pigo, Mwenyekiti wa Wilaya arejeshwa kwao Rwanda

    bita ni bita mula.........! magamba na karata yao turufu
  4. mwanangwa130

    JamiiForums Tanzania Una mechi kesho usiku?

    baada ya hapo unatoa ujazo gani na unakwenda mara ngapi..advice
  5. mwanangwa130

    JamiiForums Tanzania channel mpya dar es salaam ya channel 1(viasat1) yaanza vipindi rasmi jioni hii

    wanaonyesha soccer la EPL??
  6. mwanangwa130

    JamiiForums Tanzania ving'amuzi vya TING;Viogopeni havifai.

    sawa azam, lakini mbona nawao hawaonyeshi baadhi ya local Tvs??? na pia wana channel chache, kwa mlalahoi bado king'amuzi cha Star time kipo bora aisee!!1
  7. mwanangwa130

    JamiiForums Tanzania Wachina tena: Wakamatwa na Meno ya Tembo 81 Bandarini Dar es Salaam - Jan 2, 2014!

    ndugu wadau.mbona biashara ya meno ya tembo inashamiri sana sana, nini haswa kinaenda kutengenezewa haya meno ya tembo huko ugaibuni??????? naomba kujua tafadhali.
  8. mwanangwa130

    JamiiForums Tanzania Mbatia Acha ubishi, SimCardTax mlichemka

    sasa mabo ya mbowe na Dubai yanakujaje tena katika mada hii ya sicard..
  9. mwanangwa130

    JamiiForums Tanzania Breaking news:Etoile du Sahel has denied Uganda Cranes striker Emmanuel Okwi a move to another club.

    red pepper hili si gazeti la udaku hili??? imekuwaje ITC wao FUFA wametoa kwa Okwi..sinema linaendelea!!
  10. mwanangwa130

    JamiiForums Tanzania CCM Ukoo wa Panya: Ufisadi Unaotisha Ndani ya TANESCO...!

    kamanda mbona doc hazifunguki???????
  11. mwanangwa130

    JamiiForums Tanzania Tanganyika, Sera ya MAJIMBO na kushindwa kwa hoja za CCM

    hayaaaa!
  12. mwanangwa130

    JamiiForums Tanzania Vya bure vinagharama - king'amuzi cha continental

    :A S confused:
  13. mwanangwa130

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha dakika 45 ITV ni kwa viongozi wa CCM pekee ?

    yule mwanzilishi wa kipindi hichi selemani semunyu yu wapi siku hizi? anaejua alipo atujuze wanajamvi-
  14. mwanangwa130

    JamiiForums Tanzania Namuombea Msamaha Ndg. Tido Mhando kwa serikali ya CCM. "KUNRADHI CCM NA SERIKALI"

    Tido kuna wakati nilisikia kuwa anatakiwa kuwa kiongozi wa channel ya Kiswahili ya Al-Jazeera tawi la east Africa iilishia wapi? pia hili gazeti la mtanzania si la bwana rostam azizi na bashe ndio mtendaji wake mkuu (c.e.o)
  15. mwanangwa130

    JamiiForums Tanzania Kulifungia Gazeti la Mwananchi bila kumfukuza kazi Aliyetoa Nyaraka za SIRI ni Haki?

    kazi kweli kweli, hivi ni Tanzania zaidi niijuavyo
Back
Top Bottom