Recent content by Mwanampondasoni Nzokayape

  1. M

    JamiiForums Tanzania USAHILI WA WAKALA WA MAJENGO TANZANIA (TBA)

    Town planner mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania USAHILI WA WAKALA WA MAJENGO TANZANIA (TBA)

    Kwa wale walio wahi kufanya usahili wa TBA au wenye uzoefu na mambo ya TBA, msaada wenu tafadhari....! Natanguliza shukrani..!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi zenye mishahara mikubwa Tanzania

    Kumbe TBA sio wa mchezo mchezo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwanini mkuu?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi shambani Mufindi iringa. Mashamba ya Chai

    Niliwah kuishi na kufanya kazi huko..tatizo Kuna radi balaa (sijawahi kuona sehemu watu Wana heshimu dalili za mvua Hadi mvua yenyewe kama huko)...ila nimepakumbuka sana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wafadhili wamejenga Msikiti kwenye Eneo la shule ya sekondari inayomilikwa na serikali. Mkurugenzi wa Halmashauri ameuvunja

    Mkurugenzi na team yake walikua wapi had wasubiri msikiti umalizike ndo wavunje...Ina umiza sana..
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Tuanze na wewe mkuu...Kwan huja safiri Usiku? [emoji1787]
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu hivi betpawa amesha tulia..?? Umaweza kutoa pesa mama zamani..!?? Maana hapo katikati kulikua na malalamiko kibao kwamba watu hawaoni pesa pesa zao pindi watoapo..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Night shift Bulyanhulu, siku niliyotamani kuuaga umasikini

    Hii story haikua na mwendelezo...kwanini mtoa mada...!??
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mkuu tuna subiri...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wa nyumbani ashinde au magoli yaanzie matatu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu code ya huu mkeka tafadhari...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mpe st.pauli apate goli moja
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kampuni Gani mkuu?
Back
Top Bottom