Recent content by Mwanampo

  1. Mwanampo

    Simu gani Bomba ya android, yenye speed kunitumia Kwa zilizotoka bajeti 800k

    Oya naomba chimbo zuri la g pixel kwa bei nzuri nidake pixel 5
  2. Mwanampo

    Authorized dealers wa Google Pixel Tanzania

    Wadau naombeni chimbo la google pixel 5 au 4 kwa bei nzuri na quality nzuri
  3. Mwanampo

    Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Mkuu tunazuiaje hii reconnecting baada ya dakika kadhaa
  4. Mwanampo

    Kwanini Mungu hakumuua Shetani? Kuna haja sasa ya kuwepo na Bibilia ya Shetani?

    Kitu nacho amini mm there is a "supreme being" ila siamini kwenye dini zetu za duniani hapa kwasababu zote zinapotoshaa tuu, kwa sababu dini zetu zinafikirisha sana mfano mdogo ukiangalia miujiza iliyokua inatendeka zamani kulingana na vitabu vyetu vya dini siku izi iyo miujiza hamna hata...
  5. Mwanampo

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ipo slow sana sijui uko upande wenu vipi
  6. Mwanampo

    Setup za forex na market nyinginezo

    Buy setup wapi au tunaingia tuu
  7. Mwanampo

    Kwanini Mungu yupo?

    Maandiko hayana vidhibitisho bali ni imani za watu na imani hapa duniani zipo nyingi kila moja inamkosoa mwenzako
  8. Mwanampo

    Setup za forex na market nyinginezo

    Wakuu kama unasetup ruka nayo hapa ndani watu waburudike TAKE THE SETUP AT YOUR OWN RISK NO ONE IS RESPONSIBLE IF YOU INCURR ANY LOSSES BUT YOU
  9. Mwanampo

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nenda costech userebuke bure tuu
  10. Mwanampo

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Broo naomba koneksheni nmechoka kupigwa
  11. Mwanampo

    Kwanini Mungu yupo?

    Ww jini umewahi kumuona
Back
Top Bottom