Vioo vya google pixel ni ghali sana bei yake inakaribiana na simu mpya, jipange tu ununue nyingine mkuu.Nina pixel 4xl imekufa kioo bei zake anayejua tafadhali
Wadau naombeni chimbo la google pixel 5 au 4 kwa bei nzuri na quality nzuri
Nina pixel 4xl imekufa kioo bei zake anayejua tafadhali
PoaNjoo pm
Mkuu hii muda nishaiuza kwa bei ya hasara bei ya kioo niliona bora nitafute simu nyingineNjoo pm
Mkuu hii muda nishaiuza kwa bei ya hasara bei ya kioo niliona bora nitafute simu nyingine