Recent content by mwanamilongo

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mdogo wangu kampa mdada mimba

    Bt its possible kumpa mimba...ila huyo dada ni ovyo cn....lazima ichukue mkondo kwann afanye hivyo na under18
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mdogo wangu kampa mdada mimba

    Huyo dada katenda kosa kubwa sana kwani kamlagai huyo mtoto...km kweli upo serious na huu uzi plz huyo dada lazima sheria ichukue mkondo wake haiwezekani huyo dada kumlagai huyo mtoto....kiasi hicho.???? nimeumia sana kwa kitendo alicho kitenda huyo dada kwa mdogo wako.Nakuomba mpeleke kwenye...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea ITV sasa, wapo sahihi kweli?

    Ila kasema itafika mahali mtumishi wa umma mwenye madaraka yake anashauriana na mke wake then anaweka toa maamuzi....Duuuu hii ndio Tanzania....
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yah ndio nilikosea kidogo ni kwamba both team will score samahani mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole anapotosha kuhusu mahusiano ya ZEC na NEC

    Huyu polepole ni nani???
  6. M

    JamiiForums Tanzania VOA On Tanzania election--Straight Talk Africa

    Huku kilimanjaro hatuna hata hamu....na matokeo ya uchaguzi .....waendele tu kushikilia madaraka adi pale watakapo taka kuachia madaraka....na kamwe...huku hatutawahi kuwapa..eti "ccm ni ile ile" hivi hiyo sentensi c tata kweli
  7. M

    JamiiForums Tanzania VOA On Tanzania election--Straight Talk Africa

    Yaan kura kamwe ctowahi pg
  8. M

    JamiiForums Tanzania First year Ruaha Catholic University 2015 -2016 tufahamiane

    Oyooo Accounyacy& finance with IT....nilikuwa najua hampo huku jf.......0767589682
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ahsante mkuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwanza natanguliza heshima zangu kwenu wanaJF.Napenda kuomba mnijulishe je ina maanisha nini unapofanya betting kwenye M bet kwenye kipengele kinacho sema "bet both team will score" je nini kifanyike ndio kusudi ule dau wakuu....naombe msaada kwenue hilo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Boss wangu ebu niambie uki bet kupitia m bet kunasehemu inasema "bet both team will win"ina maana kuwa timu zote lazima zifungane ndio ule dau
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uki bet kuwa timu zote lazima zifunge inamaana kuwa licha ya timu kushinda lazima zifungane ndio uli dau mkuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Transfer jamani..

    Du mwaka huu cjui tutafanyaje..hali tete
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kwa mama wa kambo ananitaka kimapenzi

    Nipe miaka yako mkuu
Back
Top Bottom