Recent content by mwanamanzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Taasisi hizi wawe na weledi wa kazi zao

    Hivi hizo si ni KAZI kama kazi zingine Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kinondoni Ondoeni au futeni kabisa minada ya Kunduchi na ule wa Boko-chama

    Gulio ni muhimu Sana kwa maeneo ambayo ni landlocked Ili kusaidia upatikanaji wa bidhaa kwa wakazi angalau mara Moja Kwa wiki. Ila issue hapo ya minada ya mjini ni pamoja na ukusanyaji wa ushuru kuongeza Pato la mamlaka husika Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuvuta maji kutoka kisimani

    Hapo uwe na generator ama solar power
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuambizane kero katika matumizi ya Simu za mkononi

    Hii KERO namba 4 mi Hadi natamani kuvunja hii laini Usiku wa manane simu inaita unaikimbilia kuja amepiga namba ngeni, unapokea labda ikawa kuna shida kwa ndugu au jamaa.. Mtu anakuuliza "nani mwenzangu" halafu ni kwa tone ya kibashite! Unamuuliza we unapiga kwa nani...jibu anamwambia anakupenda...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dunia haiko Fair na Haijawai kuwa Fair

    Namba 5 imenibamba
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya Kiswahili yainuka huku lugha hiyo ikitambuliwa zaidi

    Sasa sisi ambao tunakazana na kujifunza kiingereza na kufanya kama ndio lugha ya biashara wenzetu wanageuza kibao. Tunaweza tukaachwa tena.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mitaa ya Kariakoo inachanganya sana

    Mimi binafsi maeneo yote kariakoo nayajua na ninapotafuta kitu sipotei na sikosi kukipata ila sijui ni mitaa gani. Kwa hiyo nami ni muhanga wa kujua majina ya mitaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO imechukua hela zetu lakini haitaki kutufungia Umeme

    Tupo wengi tuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itawafidiaje watumishi wahanga waliodhulumiwa mwanzoni mwa awamu ya tano!??

    SEMA tumeshastaafu na wengine wananjiandaa. Dhuluma kubwa sana imefanyika
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kauli zake sio za kweli?

    Ila swala la ajira kwa watz 24m yaweza kuwa sahihi maana ajira si zile rasmi tu Bali hata zisizo rasmi Huwa zinahesabiwa. Mtu anafanhankazi mashambani, kwa mhindi, dereva wa daladala n.k. Zote ni ajira
  11. M

    JamiiForums Tanzania Meneja KNCU asafiri kwa pikipiki toka Moshi hadi Shinyanga na kupata ajali

    Hivi route ya Moshi to Tabora ipoje
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

    Umesahau tezi dume. Unatesa sana kwa sasa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kikohozi sugu na koo kuuma sana

    Wazo zuri ila kuwa makini na uandishi basi. Hiyo "ngangania" uiangalie upya
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wenye Tigo na Halotel wahini hii ofa ya kupewa GB 10 bure

    Ni kweli tigo unapata
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi, watoto wanafanyiwa vitendo vichafu kaeni na watoto muongee nao

    Umenena yaliyo sahihi kabisa. Hali mtaani ni mbaya sana watoto wanafanyiwa vitendo vibaya na aidha watoto wenzao ama watu wazima. Issue ya kukagua watoto uwe na nafasi kubwa kwa wazazi. Tujitahidi kuwafuatilia watoto wanapoenda na kutoka mashuleni wanakutana na mambo mengi ya ajabu.
Back
Top Bottom