Recent content by mwanamalilo

  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

    Mwapinga
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani, Shilingi inahujumiwa na Mabenki?

    Ajuza kwenye ubora wake. Majibu ya EDA haya.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lemutuz vs his Diaspora wife

    Sasa me kuwadiz naweza mpata mama Kilango?Mimi ni tajiri nauza gongo na bangi tarime.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

    Link Ipi hiyo ya kwale? Acha kuwasifia hao wakenya mbona vilaza tu!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

    Bro Deo naomba unisaidie, hapo kwale mnawatoa wapi? Je namfugaje huyo kwale? Nisaidie ili niaje kununua vifaranga vyenu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

    Jamaa una uwezo mdogo sana kichwani. Huyo kwale anafugwaje?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kware yanapatikana kwa wingi sasa

    Nimeahindwa kukigongea like sababu nqtumia simu. Jamaa ni kama Mganga wa kienywji huyu. Kajuaje hizo nutritional status za mayai ya kwale. Naomba pia anisaidie kujua, hayo mayai ya kwale anayatoa wapi? je anamfugaje huyo kwale tena DSM? WANANIUDHIGI SANA WATU WANAOPOTOSHA WENZAO.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kware yanapatikana kwa wingi sasa

    Wewe jamaa mayai ya kwale unayatoa wapi? Unawajua kwale wewe? Hizo faida zake umezijuaje? Acha kudanganya watu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo: CHADEMA Tafuteni Mtu wa Kumshauri Nassari

    Anataka kumfukuza witzer nn?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz hii sasa imezidi

    me mutuz leo umekamatwa bro, kubalo yaishe. Tumejua mengi kupitia Uzi huh, mfano kumbe unapumuliwa, wewe ni Mtoto wa house girl na kumbe ndio maana upo tofauti na akina dokta, kumbe una watoto sikuwa najua, kunbe una umri sawa na akina membe, kumbe wewe Ni Sawa na nape tu wote ni watoto wa v...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GUNINITA: Simuachi Makonda pamoja na u-DC wake, Kortini lazima

    Wewe ze kukuz ni nani mpaka upambane na guninita? we broiler unaniudhi kweli.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliosoma Havard

    Mbona wale mapacha wawili wa pinda wanasoma huko tena wanachukua PhD za neurology na astronomy tena wakiwa na miaka 24?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kinana amaliza ziara Wilaya ya Kisarawe

    We si umechumbiwa!!!! Mwigulu tena wa nini? Kaa na mmeo huko mbona hutulii?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nyoka Mkubwa avuka barabara

    Anasumu Kali na ana hasira kweli. Anaua hadi ng'ombe 50 kwa mpigo. Huyo nyoka sikia na muone kwenye picha kama unavyomuona hapo.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nyoka Mkubwa avuka barabara

    Koboko huyo!!!! Tunao wengi sana huku kwetu Katavi. Bora ukutane na simba Ila si huyo jamaa.
Back
Top Bottom