Recent content by mwanamakambako

  1. M

    Mgogoro ndani ya CHADEMA!?

    -------- huna akili wewe, hivi hao wasaliti wanatumiwa kama kondomu na ccm, ndio hao unaosema wanajeshi waliomstari mbele, hivi kwa akili ya unafikili zitto na hao vibaraka wenzie watafifisha ndoto za mbadiliko za watanzania, akili ziko wapi wewe, inawezekana hujui kuwa unaisapoti ccm kupitia...
  2. M

    Sitta alianza na mguu wa kushoto!

    Mungu amewalaani kwa ulaghai wanaolifanyia taifa hili, alishindwa kusimamia haki juu ya nini kinachotakiwa kufanywa na wajumbe wa bunge la katiba, yeye akaruhusu uvunjwaji wa wazi kabisa wa kanuni kwa shinikizo la ccm wenzie, akaruhusu matusi, kejeri na zarau kwa wajumbe wa UKAWA, akaruhusu...
  3. M

    ACT yafunika Kigoma

    Hongera vibaraka wa ccm.
  4. M

    Zitto aitesa CHADEMA

    Sema CHADEMA inamtesa zitto na sio zitto anaitesa CHADEMA, wewe wa wapi.
  5. M

    Kikao cha CCM, UKAWA chavunjika

    Sheriti moja tu na liko wazi, kujadili rasimu iliyosilishwa na Walioba, iliyobeba maoni yetu wananchi, kinyume na hapo hakuna kurudi bungeni, kweli ccm ni mashetani, wanashindwa kuheshimu roho ya nchi.
  6. M

    Hali ya CHADEMA Mkoa wa Kigoma yenye Wilaya nane

    Rest in peace zitto aka yuda inskalioti.
  7. M

    Wakati Bunge la Katiba likiendelea, CHADEMA kujikita vijijini

    Ni jambo la msingi, elimu ya uraia yafaa ipelekwe mpaka vijijini, uzuri saizi ni kwamba watu wameanza kuelewa, hivyo tukiwatembelea itakuwa ni hamasa kubwa sana, kilalakheri makamanda.
  8. M

    Zitto aitesa CHADEMA

    Mna laana za wazazi wenu, rudini mkaombe radhi, usaliti mnaolifanyia taifa hata Mungu hapendi, huwezi kusema unaichukia ccm na kumbe unatumika kuibeba kupitia ACT.
  9. M

    Upotoshaji wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT)

    Hii ni laana inayowatafuna, kuwafanya wanawake wa Tanzania kuwa mtaji wa kuwaweka mafisadi madarakani, kwa kisingizio ni umoja wa wanawake Tanzania kupigania haki zao, kumbe unafiki mtupu, ndio maana lichama lao linayumba siku hadi siku, saizi vijana tulioelimika tunapiga kampeni kuwaelimisha...
  10. M

    Kuweni makini na wanasiasa hawa hawana lolote

    Kamanda, wanaoondoka acha waondoke, sababu wanadhihirisha mbele ya umma ni jinsi gani walivyowajinga, hao walikuwa kenge kwenye msafara wa mamba, hatuwezi kusafiri na wanafiki, mtu mwenye akili hawezi kutoka CHADEMA, sababu anajua uwepo wake pale na nini kinachopiganiwa, wenye tamaa ya shilingi...
  11. M

    Mbowe azidisha ulaghai

    Songa mbele kamanda Mbowe, wanaokutupia mawe yawarudie wenyewe, tunashukuru kuzidi kutumbusha kuwa Mbowe ni kiongozi bora, na kiongozi bora wa upinzani lazima asakamwe na ccm kwa namna mbalimbali, kama kutengeneza wasaliti ndani ya chama kama kina zitto na vibaraka wote, na njia nyinginezo, na...
  12. M

    Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Ubungo na wenzake watimkia ACT

    Hakuna cha ajabu hapo, tena kama ni kweli, hii ni neema kwa CHADEMA, kwani hii ni furusa ya watu wasafi, wazalendo, wapigania haki, wataka mabadiliko yenye maslahi kwa taifa, kuchukua nafasi na kulisongesha mbele gurudumu la mabadiliko kwa moyo thabiti wakiongozwa na Mungu, baada ya uchafu...
  13. M

    Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Ubungo na wenzake watimkia ACT

    Ccm mtasubili sana, CHADEMA haiwezi kufa kitoto hivi, chama hakitangaziwi JF, njooni muitangaze hiyo ACT huku mtaani, tuwapime sera zenu kama zinauzika au zinanuka, na tuwahoji kilichofanya msaliti na kuanza kutumiwa na maccm nje ya uongo mnaoueneza ambao umekosa mashiko.
  14. M

    Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa Kigoma na uongozi wake wote watimkia ACT

    Ukiona mtu anaondoka CHADEMA, jua huyo hakuwa mwenzetu, hilo lilikuwa galasa lililopoteza mwelekeo, na mziki wa CHADEMA hauwezi ni mdebwedo huyo, mwanachama au kiongozi wa CHADEMA hawezi kukimbia mapambano, na ukiona hivyo, jua hiyo ni ishara nzuri kwa chama kuelekea ushindi, kwani kukimbia kwao...
  15. M

    Nape Nnauye: Dkt. Slaa ni mzushi na anazeeka vibaya!

    Nape ajitokeze hadharani atuambie baba yake alipo, na hivi vyeo ccm alivipatajepataje.
Back
Top Bottom