Recent content by MWANAKA

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa umma, wanasiasa na watendaji wa serikali wawabane watoto wao kutopost mali wanazomiliki

    Upo sahihi. Lakini pia Zama za chuki vijicho na usaliti na uovu wa kila namna umeshamili. Unaweza kuta tu mtu tu mnayedhani ni ndugu yenu kaja nyumbani na maburungutu ya fedha kawalaghai wanao wapige nazo picha. Bila kujua athari zake watoto wameingia mkenge wamepiga picha kweli na mhuni kaamua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa gari za Abiria Mbeya - Kyela wadai Maafisa wa LATRA wamekuwa kero kubwa kwao

    Madereva na makondakta tujitahidi kufuata sheria LATRA hawajawahi mwonea mtu. LATRA ni watetezi wa abiria wanyonge wa nchi hii. Taasisi makini sana wanaoheshimu na kuwajali wasafirishaji.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya elimu ya juu imeanzisha chama cha kusaidiana kufuata dini ndani ya Ofisi ya serikali

    Nawaagiza wahusika kufuatilia hii habari mala moja na niletewe taarifa ofisini kwangu kesho asubuhi.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake huchochea chuki baina ya mtoto na baba yake mzazi

    Shauri zao kama wanatuchonganisha na watoto wetu. Baraka za mtoto hutoka kwa Baba sasa we panda mambegu ya chuki uone.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukishangaa ya Polepole usisahau kushangaa ya mwendazake na Mama

    Unateseka ukiwa wapi ndugu yangu? Pole sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

    Imeanza lipi kingereza kuwa kipimo cha taaluma ya mtu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kilijiri mpaka Luteni Jenerali Imran Kombe akauliwa na Askari Polisi?

    Kilimtokea nini nae
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

    We jamaa unaongea nini mbona kama unakimbizwa hebu kaa tulia ulete habari inayoeleweka. Ninachojua ukiwa kwenye nchi za watu na ukafuata utaratibu ni jambo jema we ulitakaje kwani? Au una malengo gani na Watz wenzio? Ni kweli huna jema na nchi yako zaidi ya hili?
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hata MO naamini anajua ukweli kua GSM haharibu Ligi ila ni Ujinga wenu Mashabiki wa Simba mnalishwa na waandishi wanaolipwa kumsema GSM.

    Peleka huko ushabiki wako Nani asiyekuja kuwa GSM wanaharibu wetu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji wasaidiwe kutatua kero kwa urahisi

    Shida ni nini Mwenye uelewa na tatizo la hapo vasso akuje atueleze walau tujue pa kuanzia
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

    Nilikuwa nao 3 nikiwa naishi peke yangu. Muda ulipowadia nikafanya the best selection kati yao. Sikutaka kutoka nje ya option nilizokuwa nazo. Hakika sijuti nilifanya chaguo sahihi. Ni nzuri jaribu uone inakupa nafasi ya kufanya uchambuzi makini huku ukiwa unajua mapungufu ya kila mmoja na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani Michael Battle amesema amesafiri kwa treni kwenye mabara 4 duniani lakini SGR ya Tanzania ni nzuri zaidi

    Kuna pahala tumekosea turudi tukaangalie tumekosea wapi. Huwa hawana jema nasi hawa ukiona anakusifia kuna shida pahala
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

    Poleni sana watumishi wa umma Kazi za ku enforce compliance ya sheria zina madhira yake. Kikubwa ni kuwa na tahadhari wakati wote mnapoteleleza jukumu hilo
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pacome na Baleke acheni tabia ya ulevi, mnaigharimu Yanga Kwa kiwango kibovu

    Bila picha haya ni majungu tu
Back
Top Bottom