sidhani kama kuna umuhimu wakumchagulia ringtone mtu mwenye simu yake, kama yeye inamfurahisha mwache awe happy mpaka atakapoingia kaburini, fanya yako, achana na yasiyokuhusu,,
unajua hapa watu tunashndwa kuelewana, yeye hapendi kupika sasa sio kesi, na kama vile wewe hupendi kufua inabaki the same thing, halafu mara atashndwa kumpikia mumewe, kwani alikuambia anataka kuolewa?
nikuambie kitu mdada, embu fanya kama unatafuta pesa, na achana na maswala yakumpigia simu inapoelekea iko siku atakudhuru pindi akikukuta na mwanaume mwingine, na pia ni mgonjwa wa mapenzi sasa kaaa mbali nae kabisa.
mbuzi kweli wewe, usitake kulinganisha tanzania na nch nyingine, nini hasa kinachofanya umeme upand gharama, ni uzalishaji au gharama za uwekezaji?? Kumbuka kuna makampuni hewa meng tu ndani ya tanzania hayalipi kodi na bado yanaendeleza huduma zao, na serikali imeyafumbia macho, sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.