Recent content by mwanajamii26

  1. mwanajamii26

    Offer kwa wenye blog

    Tunatoa offee kwa wenye blog ambao wanataka kufanyiwa design. tunafanya design kwa bei poa kabisa ya tsh20000. wahi sasa mawaailiano 0659505081
  2. mwanajamii26

    Jinsi ya kuongeza ram ya smart phone yako

    RAM ni nini? Hiki ni kifupi cha neno Random Access Memory, Hii ni hardware memory ambayo simu yako au computer uitumia ili kufatikisha utendaji wake, RAM uhusika na kazi ya kuzishikilia application ama software zako zote ambazo zinakuwa installed kwenye simu ama computer yako na pia kuzipa...
  3. mwanajamii26

    Ukiona ishara hizi jua computer yako ina virus

    Nadhani neno computer virus si jambo geni kwako. na kama unatumia computer basi utakuwa tayari umeshakutana nao. kuna njia nyingi sana ambazo virus huthumia ili kuingia kwenye kifaa chako baadhi ya njia hizo ni Kupitia internet kupitia kushare kwa external drives Lakini virus hawa hawaoekani...
  4. mwanajamii26

    Mambo ya Kuzingatia Unaponunua Simu janja (Smartphone)

    Naandika kitu nilicho na uhakikabnacho na nimeweka mfumo wa simu ambazo mmliki wa facebook anadai kuwa kufikia mwisho wa mwaka huu hazitokuwa na uwezo wa kutumia whatsapp. Na katika hiyo mifumo ipo na baadhi ya Android pia.
  5. mwanajamii26

    Mambo ya Kuzingatia Unaponunua Simu janja (Smartphone)

    Hapana naoa elimu kwani najua wapo wengi wasio jua juu ya vitu ninavyo vipost.
  6. mwanajamii26

    Mambo ya Kuzingatia Unaponunua Simu janja (Smartphone)

    Kumekuwa na simu nyingi sana za smartphone lakini je, ni ipi yenye ubora? Wengi tumekuwa tukinunua simu kwa kuangalia mtazamo wa nje yaani jinsi inavyoonekana kwa nje. Lakini kumbe kuna sifa za muhimu za kuangalia ili kuweza kutambua simu yenye ubora kwa matumizi ya mtumiaji Hizi hapa ni sifa...
  7. mwanajamii26

    JINSI YA KUINGIZA WINDOWS 8, WINDOWS 8.1 NA WINDOWS 10 KWENYE SIMU ZA ANDROID

    Hata kama umeroot inawezekana. Kwenye iphone bado hii imewezekama baada ya microsoft kuingia mkataba na google
  8. mwanajamii26

    JINSI YA KUINGIZA WINDOWS 8, WINDOWS 8.1 NA WINDOWS 10 KWENYE SIMU ZA ANDROID

    Upgrade simu yako na hakikisha ina memory angalau 8gb na 1gb RAM
  9. mwanajamii26

    Jinsi ya ku root simu yako ya Android

    Bado haiwwzekani kwa hiyo version but wataalamu wanaangaikia ili iwezekane
  10. mwanajamii26

    Jinsi ya ku root simu yako ya Android

    Andriod version yake kama ni chini ya 5.0 inawezekana
  11. mwanajamii26

    Zijue Tips za kubaki salama ili usiibiwe pale unapo nunua bidhaa mtandaoni

    Wengi wetu tumekuwa tukinunua bidhaa kupitia mitandao bila kujua kuwa tunaweza kuingia kwenye hatari ya kuibiwa.kuna mitandao mingi sana inayotoa huduma ya kuuza na kununua bidhaa mtandaoni mfano kwa hapa Tanzania tuna Kaymu na jumia. . Sasa hapa nimekuwekea tips za kuweza kutambua kama mtandao...
Back
Top Bottom