hii ni pumba na chuki binafsi labda, tangia aingie ubunge mwaka 2000 amepita bila kupingwa jimboni kwake, amefanya kazi kwa vitendo nenda ukaone miradi na kazi alizofanya jimboni (umeme, maji, shule, barabara...etc)...kwasababu alikuwa waziri serikali tawala muda wote, maswali yote ya maendeleo...