Ya Kandoro inatisha... Ajiuzia gari la TZS milioni 300 kwa milioni 2 tu!

lini kama siyo sasa kwa sababu we will die anyway kama si kwa maboom kama gongolamboto basi kwa treni, na kama si hivyo kwa meli hawa watu bora kupambana nao sasa kwa mapanga tuu! Utaona mnaniita mchochezi eeeti!

mie sitokuita mchochezi, nakutambua kama mwenye mali anayeumia,ugua kwa kuibiwa mali zake. sharti tuzilinde sote, tuzipiganie

Toyota land cruiser 100 specs - new and used land cruiser 100 for sale at market toyota - land cruiser specifications - Toyota land cruiser 100 specs
[h=2]Toyota land cruiser 100 specs[/h]

toyota-land-cruiser-100.jpg
No matter how testing the conditions, the Land Cruiser 100 is designed to handle them with ease.

Below you will find a list of toyota land cruiser 100 specs from Market Toyota
Please click on one of the cars to see detailed specifications.

Watanzania tupunguze majungu tufanye kazi. Kila taasisi ina kitu kinaitwa "Disposal Policy" kwamba gari likifikisha Kilometer/miaka flani linauzwa linanunuliwa lingine. Wengi hutumia Kilometer 250,000 au miaka mitano. Hata kama gari lilinunuliwa kwa 300 million baada ya kutumika miaka mitano thamani yake haitabaki kuwa 300 milion tena kutokana na uchakavu ambao utakuwa umekadiriwa kuwa 60 million kwa mwaka kama Policy yao ni miaka mitano.

Ila kwa swala la kuuzwa 2 million, kama ndio bei iliyopatikana kwa ushindani "Tender process" bado mtu hawezi kuhoji. Ila kabla ya kutangaza tender ilitakiwa gari hili lifanyie "valuation" kujua market value na hivyo lisingeweza kuuzwa chini ya "market value

Maelezo ni kwamba hiyo gari haijafikisha hata miaka kumi. Lakini tuchukulie imefika hiyo miaka 10 unadhani kwa mahesabu yako ya haraka haraka thamani ya hiyo gari ni shs. 2,000,000/=??? Na unadhani kama itakuwa imefanyiwa "internal bids" kwa wafanyakazi wa ofisi ya mkuu wa mkoa tu shs. 2,000,000/= alizonunulia hiyo gari ndiyo zilikuwa the "Highest offer"???

Hizo chenchi zetu za milioni 297 anapanga kutulipa lini au ameamua kuwachukulia watoto wake HILO DENI toka kwenye mifuko ya umma maana mwisho wa siku mali hizi LAZIMA tutawaomba kuzilipia kikamilifu huko mbele ya safari.

Na bado hapo mtu bado anafikiria kutuongezea mizigo ya mikoa zaidi ili wezi wa mali za umma kama huyu wapate kipenyo zaidi, hatutaki mpaka siku watakapoingia madarakani waadilifu.

mulika mwizi

Hizi sayansi zenu za uhasibu ndio zinatufanya mtuibie pesa zetu........eti gari zima bado linatembea na linang'aa mnatuaniambia lina zero value kisa sijui wenyewe mnaita "depreciation", cha kushangaza mtu akishalinunua hilo gari utakuta anakaa nalo hadi miaka 15 au zaidi, sasa hiyo depreciation ni kwa serikali tu, kwa watu binafsi hai-apply?

Nyie wasomi ndio mnatuharibia nchi. Mwizi ni mwizi tu, hata ukiiba kwa kalamu wewe ni mwizi tu!
mkuu, kwa nchi masikini kama yetu, kununua gari la tsh 300m na kusema value yake imeisha in 4yrs ni ushenzi wa hali ya juu.
Hakuna habari ya mahesabu hapa.

Wakuu, unajua mimi mpaka kesho huwa sielewi Toyota kuuzwa milioni sijui 300 au 400, Toyota haimo kabisa kwenye hiyo ligi. can someone pls explain to me??????
Tungoje SFO waingilie kati kama walivyofanya kwenye sakata la RADA.

Gari kama limetumika muda mrefu basi haliwezi kuwa na thamani kubwa ila tsh milioni mbili kwa gari linalotembea,huu ni wizi wa mchana.
Jakaya yupo nchini au amesafiri.

15 Vehicles Found. Change your search options...
<Prev12Next>
2009 Toyota Land Cruiser PRADO
$88,995.00
12,758 kms
White
Automatic

View vehicle #449301
2006 Toyota Land Cruiser PRADO
$52,000.00
90,024 kms
Grey
3000cc
Automatic
View vehicle #408828
2007 Toyota Land Cruiser
$50,000.00
87,043 kms
Grey
4500cc
Manual
View vehicle #468607
2007 Toyota Land Cruiser PRADO
$49,995.00
68,723 kms
Blue
Automatic

View vehicle #471166
2007 Toyota Land Cruiser PRADO VX
$48,990.00
73,768 kms
Silver
3956cc
Automatic
View vehicle #497662
2004 Toyota Land Cruiser PRADO VX
$36,995.00
86,000 kms
Black
4000cc
Automatic
View vehicle #499033
2001 Toyota Land Cruiser
$28,000.00
103,050 kms
Green
3000cc
Automatic
View vehicle #229770
2002 Toyota Land Cruiser
$23,000.00
183,427 kms
Blue
3000cc
Automatic
View vehicle #403419
1995 Toyota Land Cruiser
$20,995.00
288,000 kms
Green
4200cc
Automatic
View vehicle #498763
1999 Toyota Land Cruiser PRADO
$20,990.00
White
3000cc
Automatic

View vehicle #497683

<Prev12Next>

ma V8 HAYAJASOMEKA, HATA HIVYO THX FOR GOOD JOB

ndio kawaida yao.. wala hawafichi, na wanauziana wenyewe kwa wenyewe! mfanyakazi wa kawaidas huambulii kitu hapo

Nyambala, hakika tuko pamoja! Huyo mtoa taarifa atujuze hilo Landcruiser la 300m ni toleo la mwaka gani? Maana taarifa inadai kuwa halijafikisha hata miaka 10 likitembea, kwa maana kwamba angalau limetembea miaka zaidi ya 5. Ikumbukwe kuwa kwa viwango vya magari hususani Toyota, gari likitembea miaka 5 be it in Tanzania or elsewhere, thamani yake inashuka almost to 0.

Sina nia ya kumtetea Mhe. Kandoro, ila lazima nasi tujaribu kuwa makini na baadhi ya habari zinazowekwa hapa jamvini na tuchangie bila ushabiki wa kiitikadi....

Nimempa mwongozo kwenye post yangu hapo nime2ma link ya toyota atuambie ni ipi.

Nimempa mwongozo kwenye post yangu hapo nime2ma link ya toyota atuambie ni ipi.

nitakujuza, ngoja nikasome kule nyuma ni gari version ipi/ aina gani then nitakuja nikujuze. kwa bahati mbaya simu yangu haichukui picha, ningeipiga gari mpya anayotumia kama ya ofisi na gari alilojiuzia. usipate taabu, ufisadi unabaki palepale. ngoja nikipita pale ntakujulisha.

kwani gari lina miaka mingapi? Tukijua tunaweza kukokotoa deprecitaon

Nyie ndio mnaotusumbua, mnavichwa vigumu sana kuelewa, akili yenu zipo kifisadi sana, yani Market Value gani hiyo ya kipuuzi? Milion 300 kwa 2,000,000? Hata huo U'Economics wenu wanitia hofu, ndio wale walee!

Watanzania tupunguze majungu tufanye kazi. Kila taasisi ina kitu kinaitwa "Disposal Policy" kwamba gari likifikisha Kilometer/miaka flani linauzwa linanunuliwa lingine. Wengi hutumia Kilometer 250,000 au miaka mitano. Hata kama gari lilinunuliwa kwa 300 million baada ya kutumika miaka mitano thamani yake haitabaki kuwa 300 milion tena kutokana na uchakavu ambao utakuwa umekadiriwa kuwa 60 million kwa mwaka kama Policy yao ni miaka mitano.

Ila kwa swala la kuuzwa 2 million, kama ndio bei iliyopatikana kwa ushindani "Tender process" bado mtu hawezi kuhoji. Ila kabla ya kutangaza tender ilitakiwa gari hili lifanyie "valuation" kujua market value na hivyo lisingeweza kuuzwa chini ya "market value

nitakujuza, ngoja nikasome kule nyuma ni gari version ipi/ aina gani then nitakuja nikujuze. kwa bahati mbaya simu yangu haichukui picha, ningeipiga gari mpya anayotumia kama ya ofisi na gari alilojiuzia. usipate taabu, ufisadi unabaki palepale. ngoja nikipita pale ntakujulisha.

mwana hujapita tu pale ukaliona na kutulishia....

Dhani mleta mada hajui hata anzungumza nini mie nijuavyo hizo VX V8 hazifiki 200 millioni ikizingatiwa serikali hailipii kodi magari iyanunuayo. Anyway kuna mmoja anasema atampa Dr Slaa hii taarifa aongeze list ya mafisadi
Wakuu, unajua mimi mpaka kesho huwa sielewi Toyota kuuzwa milioni sijui 300 au 400, Toyota haimo kabisa kwenye hiyo ligi. can someone pls explain to me??????

Kwani just because ni vx haimaanishi serikali inanunuaga vx kwa stickr price, pili gari ni second hand, mnataka alipie sticker price, hamna depreciation bongo? aliyekuwa hazina aseme ilinunuliwa kwa sh ngapi bei ya serikali, hali ya gari sasa ikoje, matengenezo? iliwahi kupata ajali? mambo mengi sana na si sahihi kusema kila vx imenunuliwa kwa bei ya mil 300...mbona sehemu nyingi tu mabenz yanauzwa bei ya kutupa tu due to depreciation. :)

Back
Top Bottom