Kama umewatoa kafara kweli basi ni vema kuchutama mana kuna eazee wanajua kifo cha kafara. Kikubwa mrudie mungu kabla kafara haijahitaji damu yako. Acha janja janja.
NB
Maelezo yangu yatakuwa ya kweli kama mtu ametoa kweli kafara.
Mbona mzee Mohamed Said akiwaambia hata hao machifu wenu mashujaa kina Mkwawa na Songea mbano. Walikuwa waislam mnambishia wakati kila kitu kinajionesha kwamba waarabu walishirikiana na machifu katika biashara na mambo ya kiimani.
Kabishane na wengine
Ukijadili mikataba ya sasa unatoka kwenye historia na kurudi kwenye siasa.
Kitendo cha kuwapokea wazungu nimekizungumzia kama kukaribisha wawekezaj.
Kitendo cha kuishi nao vizuri tumekizungumzia kama mwanadiplomasia.
Kitendo cha kusaini mikataba mbele ya ramadhan na familia yake tunaona namna...
Muhimu jua
Karl peter aliishi London miaka mingi alikojifunza falsafa za ukoloni . Kwahiyo alijua kuongea kingereza vizuri. Alifijia Zanzibar na kumpata mkalimani anaitwa Ramadhani. Uwezekano wa Ramadhan kujua kingereza upo kutokana na Zanzibar kutembelewa na watu wa maeneo tofaut tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.