Recent content by mwanadar

  1. mwanadar

    Viongozi Namungo fc Jitokezeni kudai hatua zaidi baada ya uonevu mliofanyiwa, Vinginevyo ukandamizaji huu utaendelea

    Mkiona Simba anawapelekea moto mnaulilia Kwa sauti ya manung'uniko, Kwani ni aje IMEPENYA?
  2. mwanadar

    Rais Samia ashiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania. Na kupewa tuzo ya Champion of Comedy

    Punguza uchawi kijana. Una aidia nzuri ila umelala nayo fofo. Ibua uone kama hato jikita nayo. Angalia utaenda nayo mu kaburi ndugu acha uchawi. IGA ya Omi dimpo😁😁😁
  3. mwanadar

    Chasambi amuombe msamaha Manara kwa kumuita mzungu

    Nani alie muanza mwenzake?
  4. mwanadar

    Sikujua kama Taifa Stars inacheza leo

    Nakazia
  5. mwanadar

    Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

    Du zilongwa mbali zitendwa mbali
  6. mwanadar

    FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

    Utopolo mnalazimishwa mshinde lakini wapi. Kayoko ku... Ma yamamsako
  7. mwanadar

    LGE2024 Kama umekuta kituo cha Kuandikisha Wapiga kura hakina Wakala wa Chadema Toa Taarifa kupitia uzi huu, nitafikisha kwa Wahusika

    Tatizo la CHADEMA hawajielewi. Hivyo tu inatosha Mimi kutowapa kura yangu
  8. mwanadar

    Picha: Maelfu wamekusanyika Kuchukua Maji ya Upako Bukoba

    Kweli wajinga ndio waliwao. Na kesho Tandika jumapili pale Bandari mashekh wanauza mafuta ya upako na maji karibu sana. Kuigana kupo.
  9. mwanadar

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nauza cutting disc 9" tyrolit Kwa Bei rahisi Kwa anae hitaji anicheck location Dar es salaam
  10. mwanadar

    Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

    Hivi Hawa kenge mbona hawaandamani tuone damu. Nashangangaa ffu wamelala tu kwenye matololi Yao ya kutoa machozi🤣🤣🤣🤣
Back
Top Bottom