Recent content by MwanaCC kwa Imani

  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) mnatukosea sana wakatoliki

    Nadhani hoja zako zote zimejibiwa na wao. Bila watu kusikilizwa kungekuwa na maandamano? Je mtu anayefanya vurugu ya kuchoma vitu, hukumu yake ni kupigwa risasi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki, wafu mnaowaombea na walioharibiwa, kuibiwa na kuvunjiwa mali zao, wote ni waumini wenu

    Sasa wewe hapo fikiria tu, Kanisa lilitoa angalizo mapema muwa kuwe na maridhiano kabla ya uchaguzi. Ili mambo ya uvunjivu wa amani yasitokee, bahati mbaya halikusikilizwa. Sasa watu wamefanya vurugu, wameiba, wamevunja maduka, je hukumu yao ilikuwa kuwaua? Ni nani anapewa mamlaka ya kuua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi kila mtu ameanza kugundua kuwa Mungu hayupo

    Anyway, amini unacho kiamini
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi kila mtu ameanza kugundua kuwa Mungu hayupo

    Fact wapi na wewe? Fikiria kwanza
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi kila mtu ameanza kugundua kuwa Mungu hayupo

    Wewe tu kuandika jina Mungu, unathibitisha uwepo wa Mungu, hebu taja jina la kitu chochote kisicho exist unachokifahamu. Kutaja jina tu, unaonyesha existance yake. Ukisema Mungu hayupo, inamaana ametoka kwako. Ndio hayupo, but ana exist.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi kila mtu ameanza kugundua kuwa Mungu hayupo

    Ni kweli, hakuna kiumbe kinachoitwa Mungu, ila Mungu yupo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Story! story! story! Wonderful, and people are believing.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Muongo muongo huyu, anatunga story kutokana na situation.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kutapika damu kwa mgonjwa madonda ya tumbo inaweza kuwa hatari kiasi gani?

    Kutapika damu kunaweza sababishwa na vitu vingi sana kama vile. 1. Peptic ulcer disease( vidonda vya tumbo) 2. Oesophageal cancer 3. Gastroesophageal Reflex disease 4. Oesophageal varices USHAURI; Nenda kapime hospitali
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Hueleweki
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limkamate pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa anaishi Humphrey Polepole ili aeleze ni lini alimpokea na amekaa kwa muda gani?

    Najua wewe ni mtu mwenye akili timamu. Lakini mambo unayoandika humu, huwa unajitoa akili yako na kuandika utumbo. Sasa hatari yake ni ipi? Unauzoesha ubongo, utageuka kuwa mpumbafu one day, kiutanitani hivihivi
  12. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni

    Sio kweli,ametekwa na mafwele.
Back
Top Bottom