Recent content by MWANABUNDA

  1. MWANABUNDA

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sex hainisisimui kama zamani

    Pole kaka, kula vitu asili na fanya mazoezi
  2. MWANABUNDA

    JamiiForums Tanzania Wakuu benk ipi itanifaa kwa inshu za manunuzi online

    Exim Bank mkuu.. Wana credit card MasterCard au Visa zote ziko poa kwa online transaction..
  3. MWANABUNDA

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kiwanja chenye watoto wazuri hapa Dar

    Kimboka inn
  4. MWANABUNDA

    JamiiForums Tanzania Video: Wasichana wa kitanzania wapigana mtaani na kusababisha foleni India

    Mbona hii ni ya zamani sana
  5. MWANABUNDA

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Bodaboda Ubungo Kibangu: Dereva na mama wafariki, mtoto apona

    Ajali za bodaboda ni sikio la kufa...
  6. MWANABUNDA

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mkuu wa Mkoa anaambatana na mkuu wa Maaskari?

    Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa / wilaya huwa inajumuisha wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama mkoani au wilayani ndo sababu panakuwepo mwanajeshi,askari magereza ,polisi,uhamiaji...
  7. MWANABUNDA

    JamiiForums Tanzania Mwanadada wa Kitanzania akamatwa China na madawa ya kulevya

    Mtoa mada Fanya utafiti kidogo maana inasemekana huyu dada si mtanzania na amekamatwa Lagos Nigeria...
  8. MWANABUNDA

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Amani: Wastara atolewa mahari

    Kwani... Huyu Dada anaona maisha ni ndoa tu hawezi kaa bila ndoa... Shauri yake wenzake wanamuonja wanakimbia wala siyo waoaji..
  9. MWANABUNDA

    JamiiForums Tanzania Afumwa akifanya mapenzi ofisini

    Bosi nae kiboko kufumaniwa kote huko bado kaweza kuendelea na mzigo.. Haikunywea?
  10. MWANABUNDA

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamua hotuba zake zote ziwe kwa Kiswahili

    Sasa unataka kusema Dr yake ni ys Tz? We we ndo unajitekenya.. Kama hujielewi kaa kimya
  11. MWANABUNDA

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamua hotuba zake zote ziwe kwa Kiswahili

    Kwani Dr ni kiingereza? Je ma Dr wa Urusi,German nao wanajua kiingereza?
  12. MWANABUNDA

    JamiiForums Tanzania Nani kampa rais Magufuli uwezo wa kufuta sherehe za muungano bila kushirikisha Zanzibar?

    Mdau umeniss gwaride uwanja wa taifa?
  13. MWANABUNDA

    JamiiForums Tanzania Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

    Yaani mara tu ameshakuwa tegemezi?... Pole sana Dr
Back
Top Bottom