Recent content by Mwana wa Nuru

  1. M

    Kwa kumbukumbu tu kuna wakati Bashe wa CCM na Sugu Chadema waliweza kuongea lugha moja bungeni lakini hawakusikilizwa!

    Kwanini unawapangia cha kusema, kama wakanushe au wakiri, si wao wenyewe wana ufahamu? Asione tissue ni mazwazwa.hata kimya ni jibu.
  2. M

    Plot4Sale Pata kiwanja Kibaha kwa Mfipa

    Kina ukubwa gain?
  3. M

    INAUZWA Alitop spika 100000

    Mbona pichai hamna/ hazionekani?
  4. M

    Shehe Mwaipopo: Kwa sasa Mzee Kikwete ndiye Baba wa Taifa hivyo Askofu Mbarikiwa wa Mbeya anapaswa kumheshimu!

    Huo ubaba kaupata wapi Kikwete? Baba ni mmoja tu naye ni marehemu "mtakatifu " Nyerere. Hatutaki mkataba mmbaya wa bandari na rasilimli zetu. Hatutaki kusingiziwa udini kwenye kudai maslahi yetu. .Watanganyika tupo na tunaitaka Tanganyika yetu na mali zake.
  5. M

    Home tuition services

    You suppose so and that is your freedom of expression. Feel free.
  6. M

    Home tuition services

    Thanks for your comment but I prefer English to swahili. Moreover, it is the medium of communication during teaching - learning process.
  7. M

    Home tuition services

    Thanks Kambako for your constructive comments. I am a male teacher, offering home tuition services since year 2000, here in Dar es salaam. I deal with primary school and secondary school students, specifically science and maths for primary pupils and chemistry, physics and maths for o' level...
  8. M

    Home tuition services

    I offer my services in Dar es Salaam. What else would you want to know? You are welcome to contact me through 0758517100. Thanks.
  9. M

    Home tuition services

    A teacher is available for your child's home tuitions at negotiable and affordable cost.
  10. M

    Home tuition services

    I offer home TUITION services to secondary school students, Physics and Chemistry subjects at reasonable rates. This applies to Dar es salaam dwellers only. Call +255758517100 for further information.
  11. M

    Mtaala Mpya wa Elimu, Bila Kiswahili chuoni, tukutane Mahakamani!

    Mbona shule nyingi za msingi wanafundishwa kwa kiswahili lakin bado ufaulu wa hisabati na sayansi ipo chini? Mi nadhani badala ya kufanya kiswahili kiendelee sekondari hadi chuo kuku bora kingereza kianzie chekechea kama shule za "intaneshino" ambao ufaulu wao si haba kama shule zetu. Kikubwa...
  12. M

    Mimi ni Mkristo, naiheshimu sana Quran kuliko Biblia kwa sababu wenye nayo wanaiheshimu sana

    Wewe hujui asemalo au unapotisha law makusudi. Inajulikana wazi kuwa kuna matoleo zaidi ya 30 ya kurani za kiarabu. Pia zipo za lugha kadhaa, ikiwepo za kiswahili. Binafsi ninazo mbili za kiswahili na hazifanani kama inavyodai. Tofauti yetu nao ni kuwa kwao kuna waislamu watu na waislamu majini...
  13. M

    Naomba msaada kupata gwanda (sare) ya CHADEMA

    Sijui kama CCM watakununua safari hii na sina hakika kama utafanikiwa kuwa kurudi ndani ya CDM.
  14. M

    Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

    Kwani kajuaje kiasi cha mvua itakayonyesha kwa simu mmoja?
  15. M

    Dogo katolewa chumba cha mtihani na Mkuu wa Shule

    Ili kumsaidia mdogo wako, nenda kwa afisa elimu mkoa , ilipo shule na mweleze shida hiyo. Pia unaweza kuwasiliana na mkurugenzi wa elimu( sekondari) wizara ya elimu na kuwasilisha mashtaka yako hapo. Ni vema ukipata msaada wa wanasheria huru kukusaidia, kama wale wanaojihusisha na haki za...
Back
Top Bottom