Nia yangu ilikuwa nipitie taratiiiiiiiibu kwa mwendo wa kunyata ila nikaona siwezi kuwa muungwana nisipo kipatia shukrani za dhati kwa kutufikishia hii kazi jamvini SHUKRANI SANA MKUU
Aiseee...!safi kabisa tunapata kujifunza mambo mengi ya maana for this post nime increase more important things....'ila vitu vya maana namna hii sio hadharani ni vitu vya gharama mno.......!ndo maana naikubali sana Jf tuna ongezana ujuzi maarifa tunajenga ukaribu na kufarijiana
Nape Nauye
(1)Kadi yake ya Chama ni namba ngapi......?
(2)Ndani ya C.C.M ana muda gani...?
...............*..............*.................
January Makamba
(1)Ana umri gani........?
(2)Siasa rasmi ameanza kujihusisha nayo miaka mingapi....?
*............*............*............*...
Mkuu kwanza nashukuru kwa maada husika hapo juu Pili naomaba niku kumbushe kwamba Mtu yeyote anaweza kuwa kama MALAIKA katika vigezo na misingi ntakayo elezea kabla sijaanza kuelezea naomba mtambue kwamba n'takacho ongea kinatokana na fikra zangu binafsi na si vinginevyo sababu za kufananishwa...
kwani si ugombee ukifika huko utajua ni kiasi gani....?Daaaah.....!aiseeee unaonaje nuda unao tumia kuwaza mshahara wa Rais ni kiasi gani ungetumia kwa kupanga namna ya kuboresha kazi yako si na wewe unge sifiwa kwa ufanisi na mshahara wako ungepanda
Asiye weza kulipa tozo ya kivuko aogelee......'Daaaaah....!Mkubwa unadhani wa Tanzania woooooote ni WANA MAJI wenye kuweza michezo hiyo tupo wachache Mkuu
Unge mchukua pembeni kisha umpatie maelekezo ila nzuri zaidi iwe katika hali ya ku m'sifia ungeona hapo whats happen....'Daaaah hata offer ya lunch angekupa.....!Mmmmmh wanapenda kusifiwa haooo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.