Recent content by MWAMPULE 88A

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Hebu tuwe serious, hivi kuna mtu ana akili timamu anategemea Magufuli atakuwa Rais?

    hata wavuta bang wanajua kingeleza,siasa sio matusi ni sela na hojo,hapa kazi tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Magufuli

    lowasa akiwa raisi nahama nchi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ametumia muda mfupi sana kuivuruga ngome ya Lowassa

    hapa kazi 2
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nawatakia kheri kidato cha nne, 2014

    Wanafunzi munaoenda kufanya mtihani kesho,zingatieni yafuatayo,1.maelekesho ya msimamizi,2,soma kwa makini maswali iliuelewe kuwa linahitaji nini?.3.usihofu au kuogopa[jiamini].na sisi tunawatakia mtihani mwema na mungu awatangulie amina.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Singida ni noma

    Leo jiona kama mida ya sakumi nikaona juu ya anga kuna mawingu ambayo yaliambatana na upepo ambao ulikuwa na manyunyu ya mvua, watu walikuwa wanajianda kupokea baraka ya mvua kumbe ni baridi na upendo wa kutosha.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Mwigulu endelea kukamata wakwepa kodi

    Hawa ndio viongozi ambao wanahitajika ma jamii ilitujenge nchi yetu for economic,political even social ,endelea hivyo utalipwa na mungu,tanziania ni nchi ambayo kivajiri tungekuwa mbali sana lkn kwa sababu ya kukwepa kodi,rusha zinatupulu down.
Back
Top Bottom