Hebu tuwe serious, hivi kuna mtu ana akili timamu anategemea Magufuli atakuwa Rais?

lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Messages
2,793
Points
2,000
lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2014
2,793 2,000
Sure wenye matatizo ya akili na wagonjwa wa akili ndio wanaweza kudhani magufuri atakua rais.

Rais wa Tanzania ni Lowassa, hakuna mjadala kuhusu hilo.
 
M

MWAMPULE 88A

Member
Joined
Oct 19, 2014
Messages
6
Points
0
M

MWAMPULE 88A

Member
Joined Oct 19, 2014
6 0
hata wavuta bang wanajua kingeleza,siasa sio matusi ni sela na hojo,hapa kazi tu
 
M

majebere

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
4,653
Points
2,000
M

majebere

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
4,653 2,000
Hivi wewe uko sawa?Unaamini kabisa kuwa CCM itashindwa uchaguzi?Pamoja na kwamba Uchaguzi unatayarishwa na ccm, wahusika wote ccm na hata nec yenyewe ni ccm. Hata huyo mgombea wenu ni ccm. Uchaguzi wa Tanzania ni usanii tu, tunawaridhisha wanao tupa misaada tu.unajua nyie ndio mnajitafutia kuumiza roho zenu.
 
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
4,982
Points
2,000
kidadari

kidadari

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
4,982 2,000
Hata sasa wafanyakazi ndo hawaamini kabisa
 

Forum statistics

Threads 1,304,210
Members 501,294
Posts 31,506,533
Top