Kialisia si mbaya kutoka saa nane wala si hoja! Nadhani hoja walikuwa wanajadili nini, wamepata Muafaka gani, mbona nikitazama mwenendo wa Kesi ya Lwakatare kama Chadema wamejipanga zaidi ya Serikali?
Kimtazamo tu, serikali kama imeona kuwa haina hoja za kushinda, licha ya kupelekamashitaka...