Recent content by Mwammenywa

  1. M

    Makato makubwa ya Bank katika kuhamish fedha

    Jamiiforums ndiyo sehemu ya watu wengi kutolea malalamiko Yao, binafsi Leo imenibidi! Baada ya makato ya bank charges ni makubwa mno hasa kwa wananchi WA Hali ya chini. Mimi nimehamisha shilingi 25,000 Toka bank ya NMB kwenda tigo pesa! Transfer fee sh. 2700 ambayo ni sawa na 10.8% ya fedha...
  2. M

    Kilimo cha mkonge: Upandaji, matunzo na masoko

    Mbegu napataje chief. 0717782736 nataka nipande chalinze maeneo ya pingo
  3. M

    INAUZWA Viwanja vinauzwa Dodoma

    Kwa wanaotaka viwanja dodoma, follow Widechance real estate: Tuna viwanja 1.Nala IFM(km 14 from city centre) Milion 2.5 - 5 kwa kiwanja kutegemeana na ukubwa wa sqm 500-1000 2.Nala karibu na nkuhungu (km 9na 1 km from Singida road) 3mill to 6 mill kwa Sqm 500-1000 3.Michese along chidachi...
  4. M

    Kilimo na soko la almonds

    Na Mimi aisee nataka kulima hii.kitu nisaidie number...japo Mimi nataka miche 0717782736 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Kiwanja kwa msuguli sqm 515 kinauzwa

    Hapana ni viwanja viwili..ukicombine itakuwa 1300 sqm
  6. M

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Madaktari husema,almost kila mtu ana element ya ukichaa..ila wanasema ni hatari zaidi pale afya ya ubongo inapokesekana....vitu vinavyoleta athari hiyo ni pamoja na kumchukia pasipo kuwa na sababu....Magufuli alichofanya ni kutokumwonea mtu aibu..akijipambanua tofauti na viongozi waliopita, hiyo...
  7. M

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Mimi nina amimi...hakuna mtu humu mwenye legitimate ya kusema magufuli, kiongozi mbaya...ebu nionyeshe mbadala basi..Chadema..ndo hivyo, ukirudi CAF case ileile...ebu tuache utamani jamani, kama masrahi yako yameguswa kwa sababu nchi inanyoshwa...usipandikize chuki kwa wengine.... Sent from my...
  8. M

    Kiwanja kwa msuguli sqm 515 kinauzwa

    Hallo wadau kuna viwanja wiwili kwa Msuguli km.2 kutoka Morogoro road. Ni viwanja viwili vimeungana, kila kimoja mill 15 ila kwa anayetaka kuchukua vyote viwili anapata discount. Barabara ya mtaa inapita kwenye kiwanja, Hizo squre metre zimepimwa kwa GPS , so hakuna longolongo nauza mwenyewe...
  9. M

    Kwani hakuna uwezekano wa kufanya hivi wakitaka kujenga Fly Over?

    So heri ya Tanesco kuliko mtu binafsi ambaye Kwanza Yuko pembeni ni just kipande kadogo Sana ambako wangeweza kuachana nako
  10. M

    Kwani hakuna uwezekano wa kufanya hivi wakitaka kujenga Fly Over?

    Hi Sheria msumeno angalia stop over jengo la chilato ghorofa nane linabomolewa...kweli inauma kuliko kawaida aisee
  11. M

    Prof. Kabudi apologise or resign for embarrassing the president and the country

    Mfano , Chukulia una share CRDB chini ya asilimia 50 ....ujue wewe ni Minority ....Na mwenye 51 ndo mwenye Majority...hivyo Mwenye Mamuzi ya kampuni ni yule Mwenye Majority vote.....sasa ACACIA wana 30+ na BARIK 60+ hivyo mwenye Mamuzi ni BARICK
Back
Top Bottom