Kiwanja kwa msuguli sqm 515 kinauzwa

Mwammenywa

Member
Feb 20, 2012
12
8
Hallo wadau kuna viwanja wiwili kwa Msuguli km.2 kutoka Morogoro road. Ni viwanja viwili vimeungana, kila kimoja mill 15 ila kwa anayetaka kuchukua vyote viwili anapata discount.

Barabara ya mtaa inapita kwenye kiwanja, Hizo squre metre zimepimwa kwa GPS , so hakuna longolongo nauza mwenyewe maana nimehamia Dodoma, nilitaka kujenga
Number yangu :0717782736
 
Hallo wadau kuna viwanja wiwili kwa Msuguli km.2 kutoka Morogoro road. Ni viwanja viwili vimeungana...kila kimoja mill 15. Ila kwa anayetaka kuchukua vyote viwili anapata discount....

Barabara ya mtaa inapita kwenye kiwanja, Hizo squre metre zimepimwa kwa GPS , so hakuna longolongo..nauza mwenyewe maana nimehamia Dodoma, nilitaka kujenga...
Number yangu :0717782736
Weka picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom