1.Hivi nyie waislamu ni nani aliyewaambia kila muarabu ni ndugu yako? Kwasababu ya lugha? Hiv hakuna muarabu wa dini nyingine?
Aaah au kanzu ndo tatizo? sijui ila hapa mnawatetea na kujiweka upande wa waarabu hata pale wanapokosea kisa dini.
Haya jaman labda kuna vitu sijui NISAMEHENI
2. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.