=Mr. Mangi;11960079]ni watu wangap wamekuja hapa kutoa shukran kwa huduma bora za mwl?
Ndivyo tulivyo wakati inaonekana tulimpongeza na kushukuru leo imekata mwl anaonekana tapeli.
Kuna yeyote anajua kuhusu beinsport atujuze nayo imekata?
Asanteni sana wakuu. Nilikua kimya ili nilete ripoti ya kueleweka baada ya kukamilisha zoezi nimeijaribu simu siku ya pili sasa naona iko poa kabisa. Kweli jamii forum ni🎓
Asante. Nilifanya hivyo nikabaki na zile apps za factory ilifika mahali nikaifanya ya kupiga na kupokea simu tu ila tatizo bado liko pale pale baada ya masaa kadhaa simu lazima tatizo lijirudie.
Habari zenu wakuu nina galaxy s3 original shida ni kwamba imeanza tabia ya ku-stac mpaka nitoe battery niweke upya ndipo inakaa sawa. Kinacho nikera zaidi ni kwamba wakati imestac ukinipigia kwako inaita ila kwangu kimya kabisa na muda wa warranty umeshapita nifanyeje ikae sawa maana kununua...
Wakristo wanafundishwa UPENDO, UVUMILIVU NA KUTOLIPA KISASI maana kisasi ni cha MUNGU. Ikitokea kwa sababu yoyote ile msikiti ukachomwa hakutakalika kakini leo makanisa yanachomwa na kuharibiwa kila siku na siwaoni wakifanya fujo maana MUNGU wao si dhaifu kiasi cha kutetewa na mwanadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.