vurugu za mbagala katika picha

vurugu za mbagala katika picha

Wakristo wanafundishwa UPENDO, UVUMILIVU NA KUTOLIPA KISASI maana kisasi ni cha MUNGU. Ikitokea kwa sababu yoyote ile msikiti ukachomwa hakutakalika kakini leo makanisa yanachomwa na kuharibiwa kila siku na siwaoni wakifanya fujo maana MUNGU wao si dhaifu kiasi cha kutetewa na mwanadamu mdhambi.MUNGU awasaidie waelewe hili.
 
Mi bado sijapata taarifa sahihi kuhusu hili tukio kumekua na story nyingi na kila mtu anaripoti kwa ushabiki wadini lakin kwa ukafiri ulivyo kila kitu wao wanajionea sawa tu uislamu sio hivo
 
Mi bado sijapata taarifa sahihi kuhusu hili tukio kumekua na story nyingi na kila mtu anaripoti kwa ushabiki wadini lakin kwa ukafiri ulivyo kila kitu wao wanajionea sawa tu uislamu sio hivo
Sasa naanza kuwaza kama hao wa mbagala ni waislam au genge la wahuni,kuvunja,kupora,na kuharibu ni mambo yawezayo kufanywa na wezi,vibaka nk,hivyo hao wa mbagala kama ni wafuasi wa dini basi dini hiyo itakuwa ni ile ya vibaka,walevi,wezi,waporaji na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom